Teh teh km 5 tu kwangu ni tatizoTeh teh..Mwisho km1000 tu
Ha ha ha..We haufai basiTeh teh km 5 tu kwangu ni tatizo
Teh teh ! Hela sina ,kula mlo mmoja kwa siku ,na hiyo kitu nikose pia ? Sasa nafanya nini kwenye hii duniaHa ha ha..We haufai basi
teh! teh! kurukaruka kwa maharahe ndo kuiva kwake, vumilia hiyo hali, b'day yako lini nikuzawadie kifuniko cha batiunaniua mbavu you know
Teh teh..Umesahau kitu kimoja..Na peponi hauendi..Bora ujiburudishe tu hapa duniani na mechi za kibabeTeh teh ! Hela sina ,kula mlo mmoja kwa siku ,na hiyo kitu nikose pia ? Sasa nafanya nini kwenye hii dunia
Teh teh..Umesahau kitu kimoja..Na peponi hauendi..Bora ujiburudishe tu hapa duniani na mechi za kibabe
huna lolote unahamu tu usiku wa leo we sema nije nikutoe hizo hamuYaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza ,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!!!!sio robot
ngoja nijilalie mie
nawatakia usiku mwema
Nakushauri usisome zile hadithi za mambo yetuYaan huyu mwanaume nimemmiss hadi nahisi kuzima jamani,sijui hata nifanyeje long distance inaniumiza ,kwa vile nampenda hakuna jinsi japo ajue naumia jamani mi ni binadamu kha!!!!sio robot
ngoja nijilalie mie
nawatakia usiku mwema
basi fanya maamuzi magumu kama ya raisi wako anavyotumbua majipusio hamu Tu vingi namiss kutoka kwake,ambavyo hunibembeleza,nalala kifuani kwake sio ngono tu
khaaMfate tu. Ila pia,unashauriwa utumie dawa maumivu yakizidi muone daktari. Tafuta kakijana kengine kawe dawa yako huku unamsubiria daktari. Pole na ugua vyema na dawa ikusaidie
Comment zako zim3jaa kule ukitaka episode mpya dailysisomi nikisoma zile ntalowanisha godoro