Hakuna mahali popote nimetaja stranger ,rafiki zako hawawezi kuwa stranger kwako inaweza ikawa ni rafiki zako unaofanya nao kazi ama uliosoma nao mnakutana ,
Unapokua club kwa hizo starehe zako ndio akaomba kucheza na wewe mnacheza nyimbo kama hiyo ya Marvin Gaye the guy is whispering in your ears ,mikono yake ipo kwenye kiuno inafanya movement ya kutoka kwenye tumbo mpaka kwenye nyonga ,ama you face each other your breasts are touching his chest na mdomo wake kauweka kwenye shingo yako huku mikono ikiwa inapanda kutoka mgongoni mpaka kwenye hips ,hapo akili za kawaida zinakua hazifanyi kazi ni hisia tu ,halafu uniambie mwanamke naye date naye yupo weak ? Mwee labda wewe hisia zako zipo kwenye kisigino