Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
Babu natambua uwepo wako....
Naona Mkongwe mwenzio Mbu katurejesha....
Kweli tusiziache nyakati zitupite hadi tuanze kujuta kama huyu mkongwe mwenzio babu Major Dc
Unajua nini,
Huyu swahiba kasahahu kitu kimoja, kwamba wakongwe hawatupani...tena kwenye yale mambo yanayotishia uhai wa mwenzao...
Basi Mbu arudi kwenye club ili wakongwe wampige tafu arejeshe furaha yake...
Why not?
Babu DC!!
Last edited by a moderator: