........nimekukumbuka sana :'(

........nimekukumbuka sana :'(

.
And you had enough love for the both of us But I, I, I did you wrong, I admit I did But now I'm facing the rest of my life alone, whoa....."

Pole sana yaliyo pita si dwele ugange yajayo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mbu nimekukumbuka pia Bro!

Mwezi wa heri huu kweli nimepata kukusoma tena
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu

..... Umeona ee? Mwezi wa amani na upendo.....kutakiana mema na kusameheana.

Hivi, yule chalii klorokwini aliishia wapi? Nami humu MMU nishakuwa mgeni sasa...

Those days we'd kina Gaga, BelindaJacob na kisa cha "ameuteka moyo wangu," Nyamayao, LD na wengi wengineo hata kuwataja naogopa nisijeambiwa walishatangulia!...
 
Last edited by a moderator:
Mbu ..

Sijui miaka imeenda wapi ..
Huo wimbo nikama nimeisikia jana tu ..

Anywhere pole kwa yAliyo kusibu.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
..... Umeona ee? Mwezi wa amani na upendo.....kutakiana mema na kusameheana.

Hivi, yule chalii klorokwini aliishia wapi? Nami humu MMU nishakuwa mgeni sasa...

Those days we'd kina Gaga, BelindaJacob na kisa cha "ameuteka moyo wangu," Nyamayao, LD na wengi wengineo hata kuwataja naogopa nisijeambiwa walishatangulia!...

khaaa, hahaha! hata mie bwana nimem miss klorokwini sana, na The Finest,maisha nayo yanatukimbiza haswaaa kuingia humu kama awali imekuwa ngumu, si unajua tunawatafutia na wenetu hela ya kuwalipia kodi ya simcard, bado huko vijijini kwa wazee wetu, sijui mjomba, bado kaka yake na baba, khaa Mbu maisha makali haswaa.
 
Waoow Nyamayao, 🙂 upo kumbe?! Angalau twachungulia mara moja moja humu ndani.... Yabidi kuitisha roll call, au sijui watu wamepona vidonda vya moyo siku hizi?

Humu 'wagonjwa wapya' watupu wanaougulia na ma thread yao, afrodenzi upo? Haha....hata kama ume delete post angalau ume 'beep' upo hai!
 
yaani watu wamepotea kweli, Nyumba Kubwa nae kapotea kweli kweli, MJ1 nae sijui tunapishana ama vipi, khaa maisha haya yanatusambaratisha kwa kweli!
 
khaaa, hahaha! hata mie bwana nimem miss klorokwini sana, na The Finest,maisha nayo yanatukimbiza haswaaa kuingia humu kama awali imekuwa ngumu, si unajua tunawatafutia na wenetu hela ya kuwalipia kodi ya simcard, bado huko vijijini kwa wazee wetu, sijui mjomba, bado kaka yake na baba, khaa Mbu maisha makali haswaa.
haswaaaaaaaaaa...

Like swahiba Mbu said, if i could turn back the hand of time

Kila mmoja ana lake la kumbukumbu, ila miaka inatoka mita kuliko saa wallahi

I miss those days, so fresh, so sweet and soo beautiful

Nyamayao hujambo mama??
 
..... Umeona ee? Mwezi wa amani na upendo.....kutakiana mema na kusameheana.

Hivi, yule chalii klorokwini aliishia wapi? Nami humu MMU nishakuwa mgeni sasa...

Those days we'd kina Gaga, BelindaJacob na kisa cha "ameuteka moyo wangu," Nyamayao, LD na wengi wengineo hata kuwataja naogopa nisijeambiwa walishatangulia!...

hahahaha hiyo Mutu klorokwini nanadhani we ndio utuambie maana mlipotea kipindi kimoja tu, hao wadau wengine tupo nao japo kwa kunusanusa...... BelindaJacob tupo naye sana kwenye idara ya movie tukiongozwa na na mkuu BAK.
Hamna kinachoharibika hapa....
Rudi tafadhali kiongozi..... Nimezikumbuka sred zako nyiiingi
 
Last edited by a moderator:
hahaaa, kamanda... i believe kabisa kwamba a woman in love can take back a man mara milioni moja, mie dalali tu; kazi ni kwako

Eti? TIMING............ hivyo eeh? Lakini Soulmate Mbu keshakwambia kuwa siku hazigandi. But honestly, kwa heshma na taadhima ya Soulmate ninaomba kutoka nje ya mada kidooooogo (Angalau kupunguza hili wimbi la huzuni lililotanda katika hii thread yake)............. Seriously is it really? kuwa a woman in love husamehe na kuzika na kusahau machungu alotendewa au ndo kama asemavyo Mbu hapo kuwa she will take you half hearted? Mie sijawahi kurudia, ndio mana nauliza .........
 
Last edited by a moderator:
yaani watu wamepotea kweli, Nyumba Kubwa nae kapotea kweli kweli, MJ1 nae sijui tunapishana ama vipi, khaa maisha haya yanatusambaratisha kwa kweli!
Hahahah Da Mkubwa@Nyamayao nilipokuona leo humu, nimetenda dhambi ya kukuwazia nadhani uwongo....nimewaza mawili, 1. Either wewe ndio Soulmate Mbu umeamua kuzipasa moto ID zako au 2. Wewe na Soulmate Mbu mlikuwa mmejificha sehemu pamoja (Mambo ya SRM) so mnagaiana muda tu wa kucheza na kuingia JF................. mnisamehe lakini nimefurahi kuwaona
Soulmate kuna mtu kaiba password yangu ................. sio mie
 
Pole swahiba Mbu,

Kwa nini unakufa na vidonda moyoni?

hebu leta taarifa wazee wazima tutakupiga tafu?

Babu DC.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Pole swahiba Mbu,

Kwa nini unakufa na vidonda moyoni?

hebu leta taarifa wazee wazima tutakupiga tafu?

Babu DC.

Babu natambua uwepo wako....
Naona Mkongwe mwenzio Mbu katurejesha....
Kweli tusiziache nyakati zitupite hadi tuanze kujuta kama huyu mkongwe mwenzio babu Major Dc
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenikumbusha mbali sana 98' hyo nasikiza john dilinga 101.4 FM{Now capitol fm} dedication zone acha na enzi hzo salama jabri yupo east africa acha we nilikuwa sikosi hashtag.TBT
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom