100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,236
- 36,606
Mkuu umejibu vyema, na huo ndio ukweli...Hakukuwa na kuingizwa mkenge. Kiufupi ni kuwa hakuna aliyekuwa ametarajia Samia ataamuru watu wapigwe risasi kwa kiwango kile, hivyo mauaji yalipoanza kila mtu akawa kama amepigwa bumbuazi. Wale wauaji waliokuwa wanazunguka mtaani kuua, hata wananchi (kama siyo kupigwa butwaa) tungeweza kuwanyang'anya zile silaha na kuwageuzia. NB: sikatai kuwa jeshi lilitakiwa kufanya zaidi, ila ugeni wa kilichotokea kwa nchi yetu ndiyo ulisababisha kila mtu apate mshtuko na kushindwa cha kufanya.
Si kweli...Kama ni hivyo, maana yake okt 29 walichomoka licha ya mgombea kuwaeleza yeye ndo kamanda mkuu na hakutakua na maandamano, ila walikua na taarifa za ulaghai kutoka kwa wanaharakati wetu wskiwa na "za ndani" kama kawaida yao. Jambo ambalo mpaka sasa mahesabu yameshapoteana na hakuna ufafanuzi kutoka kwa wanaharakati juu ya nini kimefeli
Conclusion yangu ni kwamba waandamanaji/watu walilaghaiwa na kuingizwa mkenge okt 29 . --- na harakati na namna hii ya kuingizana mkenge ni mbaya sana hata kama kweli kuna vitu tunavidai
Kama ni hivyo, maana yake okt 29 walichomoka licha ya mgombea kuwaeleza yeye ndo kamanda mkuu na hakutakua na maandamano, ila walikua na taarifa za ulaghai kutoka kwa wanaharakati wetu wskiwa na "za ndani" kama kawaida yao. Jambo ambalo mpaka sasa mahesabu yameshapoteana na hakuna ufafanuzi kutoka kwa wanaharakati juu ya nini kimefeli
Conclusion yangu ni kwamba waandamanaji/watu walilaghaiwa na kuingizwa mkenge okt 29 . --- na harakati na namna hii ya kuingizana mkenge ni mbaya sana hata kama kweli kuna vitu tunavidai
Nami sidhani kama anaishi bado. Na yule kaka yake kimyaaa nowadays! Ni maumivu makali sanaI dont think he is still alive. Kwa kilichotokea 29/10, kuua binadamu kama kuku, kwangu mimi nilishakata tamaa kwamba waliopotea wote watakuja kupatikana tena. BTW kuna zile habari ziliandikwa kutoka nje kuwa alifariki, sidhani kama ilikuwa uongo! Ila kama atakuwa hai wengi tutafurahi.
Exactly.Confession of the obvious? That's not confessing that's admitting. He did the right thing though to admit and come back to his senses, better late than never.
Hakusema kuwa CCM tatizo alingangania kuwa system ya kina Rostam. Lakini angeukana CCM na kusema matatizo yalianza na Magufuli angekumbukwa leo. Tumeshamsahau kwa sababu aliongelea ujinga na upumbavu kuwa wabadilishe mgombea.Sawa lkn alikuja kuona kuwa alikuwa upande mbaya, upande wa makosa, upande wa dhambi
Hakusema kuwa CCM tatizo alingangania kuwa system ya kina Rostam. Lakini angeukana CCM na kusema matatizo yalianza na Magufuli angekumbukwa leo. Tumeshamsahau kwa sababu aliongelea ujinga na upumbavu kuwa wabadilishe mgombea.
Hakuongelea kuwa tatizo ni CCM kubadili mgombea haisaidii. CCM ina mizizi mikubwa sana. Huoni Jeshi na polisi wote wako na CCM ? Aliongelea hili ? Kuhusu Magu, yeye ndio rais wa kwanza kupendelea alikotoka umeenda Zanzibar hivi karibuni ? Magu ndio rais wa kwanza kujaza watu wa alikotoka serikalini. Umeenda wilayani huko ndani ndani na kuhesabu wazanzibari ? Watu walianza kupotea na kutekwa kipindi cha Magu. Umeona mfanyabiashara aliyetekwa na kuuliwa juzi hapa ? Magu ndiye rais wa kwanza kushinda uchaguzi asilimia 90 na kupitisha wagombea ambao hawakushinda kura za maoni. Uchaguzi wa 2025 ulikuwaje ? Hatuendelei kwa sababu tunaendekeza siasa. Watu wanaogopa kusema ukweli kqa sababu ya kupoteza wafuasi. Ukimkosoa Magu na kusema ukweli utakosa support. Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli ndugu.Matatizo yapi yalianza na Magufuli? Kama utekaji, upinzani mkalii ndani ya chama etc ni matatizo yana historia ndefu sana nchini. Halafu mbona Polepole aliongelea mengi sana tu zaidi ya hilo la kubadilisha mgombea?
Acha kabisaSasa alikuwa Cuba gani huyu jamaa?
Amechemka sana, hata hawa wanaojiita TFF kwa kuamini VPN nawahurumia sana, watamalizwa kimyakimya tena hawa wala hawahitaji kesi.
Siri zinatofautiana bwana mkubwa, kuna state secrets ambazo ndio zilimlamba Gen Kombe na political secrets kama za Polepole ambazo ni za kikundi cha majambazi kama hawa walioko ndani ya mbogamboga na wanateka na kuua watu hovyo.Polepole chapter is closed and will not harm anybody in the future. Sawa na Major General Imran Kombe tu. Ukiwa na siri za Serikali kufa nazo tu, acha kubwabwaja. There's NO WAY uka survive. Polepole alikuwa mjinga sana.
Gen Imran Kombe alikuwa na state secrets gani? Wote na Polepole wako sawa, tofauti ni njia waliyotumia kuzimwaga hizo secrets. Gen Kombe alikuwa anampa Lyatonga Mrema, na Lyatonga ndiye alikuwa anazimwaga. Polepole alizimwaga mwenyewe.Siri zinatofautiana bwana mkubwa, kuna state secrets ambazo ndio zilimlamba Gen Kombe na political secrets kama za Polepole ambazo ni za kikundi cha majambazi kama hawa walioko ndani ya mbogamboga na wanateka na kuua watu hovyo.
Hawa wa Aina hì ya pili aingiapo kiongozi wa itikadi tofauti hawaponi.
Unadhani umpe John Heche Urais lazima atawajua walio mteka na pengine kumuua Mdude jee watapona? Mdude alikuwa na tishio gani kwa State?
😂😂😂😂 daah we jamaaUkishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Emagine angekuwepo siku hiyo huku Mange anapiga, kule polepole yuko live, kulia yupo Lissu anakiwasha NINI KINGETOKEA.Ila tarehe 29, 30 walimuheshimisha. Hata kama alikuwa kashatangulia, ila walimuenzi. Lazma alikuwa proud. Ila sasa to think of it, kumuondoa Polepole imewasaidia nini?
😂😂😂😂 daah we jamaa
Kwa hiyo kesi ya uhaini inayomkabili Tundu ni halali?Emagine angekuwepo siku hiyo huku Mange anapiga, kule polepole yuko live, kulia yupo Lissu anakiwasha NINI KINGETOKEA.
Yani unauliza mkurugenzi wa usalama wa Taifa ana state secret gani? Wewe umejisikiliza kwanza hata ulichoandika kweli?Gen Imran Kombe alikuwa na state secrets gani? Wote na Polepole wako sawa, tofauti ni njia waliyotumia kuzimwaga hizo secrets. Gen Kombe alikuwa anampa Lyatonga Mrema, na Lyatonga ndiye alikuwa anazimwaga. Polepole alizimwaga mwenyewe.
Yule kaka yake mimi nilikuwa naangalia body language yake na maneno yake nikahisi huyu anaongea kwa sababu ya maumivu tu hana mkakati wowote. Mtu mwenye mkakati ha-record clips kutishia kuwa anakwenda kufanya jambo....Nami sidhani kama anaishi bado. Na yule kaka yake kimyaaa nowadays! Ni maumivu makali sana
Tafuta uzi humu JF unaomhusu Imran Kombe kwanza ndiyo uanze kubishana na mimi. Mimi nimekwenda deep kukueleza ni siri ipi ambayo Imran Kombe alitoa na alitoa kwa nani!!Yani unauliza mkurugenzi wa usalama wa Taifa ana state secret gani? Wewe umejisikiliza kwanza hata ulichoandika kweli?
Oct 29 haikusababiswa na uchochezi wa wanaharakati tu peke yao. Ni matokeo ya negative factors nyingi likiwemo fukuto la muda mrefu dhidi ya sera zisizokubalika na wengi za CCM.
Hakukuwa na kuingizwa mkenge. Kiufupi ni kuwa hakuna aliyekuwa ametarajia Samia ataamuru watu wapigwe risasi kwa kiwango kile, hivyo mauaji yalipoanza kila mtu akawa kama amepigwa bumbuazi. Wale wauaji waliokuwa wanazunguka mtaani kuua, hata wananchi (kama siyo kupigwa butwaa) tungeweza kuwanyang'anya zile silaha na kuwageuzia. NB: sikatai kuwa jeshi lilitakiwa kufanya zaidi, ila ugeni wa kilichotokea kwa nchi yetu ndiyo ulisababisha kila mtu apate mshtuko na kushindwa cha kufanya.
Mkuu umejibu vyema, na huo ndio ukweli...
Hakuna mwananchi alitarajia polisi wanaweza kuua watu kwa kuwapiga risasi vichwani bila huruma...
Wengi walijiandaa kukabilina na mabomu ya machozi, maji ya kuwasha n.k...
Si kweli...
Ndio maana nilikuambia mtu hata umsukume kiasi gani, kama hajapata msukumo wa kufanya hawezi kufanya...
Kilichotokea 29 OCT ni wananchi kuchoka kunyanyaswa...