macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 28,208
- 56,811
Wengine pengine hamjui kwa undani ni nini kilitokea, hivyo unaona ni kama jambo lililotegemewa. Sitaki kuendelea kubishana na wewe kwa sababu sielewi uelewa wako wa kuchangunua mambo au unaweza kuwa ni mnufaika wa unyama uliofanyika. Kwamba unasema ulitegemea wangeuawa watu wengi namna ile tena kwa mtindo ule..... kunanifanya nione una kasoro kubwa.wakuu tutakubaliana kwamba ccm haifanyi vyema na watu wengi hawaitaki.
ila hamuwezi kukataa msukumo wa wanaharakati na taarifa zilizo sio sahihi --- nataka kusema kwamba taarifa zile nyingi zilikua za kilaghai. na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.
kwa maneno waliokua watu wanasema watafanya ile okt 29 - nyi mnaona kweli ingewezekana hali kutulia bila shaba? --- ukiachana na wanaharakati wetu waliopo nje ya nchi wale wa ndani ya nchi nyi mmeona wakiandamania wapi? - kama issue ilikua mabomu ya machozi na maji ya kuwasha tu?
tuendelee kuangalia hali ilivyo --- ila kuna siku mtakuja kukiri okt 29 ilikua blunder kubwa sana kwa walioandaa na walioisupport - wote walikua na uwezo mdogo wa kufikiri