Umesema vizuri sana. Humphrey alitenda matendo mabaya sana hasa kushiriki kuanzisha huu ushetani unaoendelea Sasa.
Lakini alijitambua akakiri na kuuangukia umma kuomba radhi Kisha akaanza kutupatia za ndani.
Hata Sasa pengine harakati zinazoendelea Zina ka sehemu ka mchango wake wa habari alizotusanua.
Kama wamemuua basi wamesha fanya dhambi iliyo kuu kwa sheria za nchi yetu, na kwenye hili bi Msumi Hana PA kukwepea. Ataondoka kwenye kiti na ipo siku atakaa atakaye futa hiyo sheria ya kutoshitakiwa kwa makosa ya Aina hìi na kitamlamba