Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,886
- 2,539
Walisahau labda CCM ilifanya nini Pemba Januari 2001na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.
Walisahau labda CCM ilifanya nini Pemba Januari 2001na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.
Kiongozi huelewi unachozungumza...wakuu tutakubaliana kwamba ccm haifanyi vyema na watu wengi hawaitaki.
ila hamuwezi kukataa msukumo wa wanaharakati na taarifa zilizo sio sahihi --- nataka kusema kwamba taarifa zile nyingi zilikua za kilaghai. na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.
kwa maneno waliokua watu wanasema watafanya ile okt 29 - nyi mnaona kweli ingewezekana hali kutulia bila shaba? --- ukiachana na wanaharakati wetu waliopo nje ya nchi wale wa ndani ya nchi nyi mmeona wakiandamania wapi? - kama issue ilikua mabomu ya machozi na maji ya kuwasha tu?
tuendelee kuangalia hali ilivyo --- ila kuna siku mtakuja kukiri okt 29 ilikua blunder kubwa sana kwa walioandaa na walioisupport - wote walikua na uwezo mdogo wa kufikiri
Mimi sio mpiga kurs na wala sikua muandamanaji. Sasa mkuu umezunguka na iveco ya jeshi mpaka sasa mmekamilisha kitu gani? zaidi ya kuleta maafa ?Kiongozi huelewi unachozungumza...
Nakuuliza ulikuwepo barabarani kutazama hali jinsi ilivyokuwa? ulitizama jw na polisi mienendo yao?
Unazungumza hayo kwa sababu ulikuwa umejifungi ndani?
Unaelewa Samia alikwenda jeshini kusafisha hali ya hewa na kuwatuliza akiwaasa wasijihusishe na siasa?
Unaelewa serikali ilianza kutuma viposho jeshini visivyo na maelezo ili kuwatuliza?
Kaka unaongea vitu cheap sana, pengine huelewi unachozungumza, oct 29 itakuwa ulijifungia ndani, mimi nilikuwa nazunguka na IVECO ya jeshi....
Hivyo huelewi chochote... Kwa mtu anaelewa anafahamu hali ilikuwaje...
Jeshi lilikuwa limegawanyika kwa kifupi. hivyo ilikuwa issue serious..
Nilikuwa nazunguka na IVECO ya jeshiKiongozi huelewi unachozungumza...
Nakuuliza ulikuwepo barabarani kutazama hali jinsi ilivyokuwa? ulitizama jw na polisi mienendo yao?
Unazungumza hayo kwa sababu ulikuwa umejifungi ndani?
Unaelewa Samia alikwenda jeshini kusafisha hali ya hewa na kuwatuliza akiwaasa wasijihusishe na siasa?
Unaelewa serikali ilianza kutuma viposho jeshini visivyo na maelezo ili kuwatuliza?
Kaka unaongea vitu cheap sana, pengine huelewi unachozungumza, oct 29 itakuwa ulijifungia ndani, mimi nilikuwa nazunguka na IVECO ya jeshi....
Hivyo huelewi chochote... Kwa mtu anaelewa anafahamu hali ilikuwaje...
Jeshi lilikuwa limegawanyika kwa kifupi. hivyo ilikuwa issue serious..
Mimi nimekoswa na risasi si chini ya mara tatu...Mimi sio mpiga kurs na wala sikua muandamanaji. Sasa mkuu umezunguka na iveco ya jeshi mpaka sasa mmekamilisha kitu gani? zaidi ya kuleta maafa ?
Hii sio kweli mkuu, nyerere , mkapa, kikwete walifanya hivyoMagu ndio rais wa kwanza kujaza watu wa alikotoka serikalini.
Watu hawakuanza kutekwa kipindi ch magu. Umesema watu waseme ukweli lakini wewe unasema uongo. Wakati wa nyerere watu walitekwa, wakati wa mwinyi watu walitekwa, wakati wa mkapa, wakati wa kikwete ni juzi tu lakini ushasahau. Ungesema wakati wa magu ilizidi ungekua sahihi lakini sio kwamba zamani utekaji haukuwepoWatu walianza kupotea na kutekwa kipindi cha Magu.
Magu hajawahi kushinda kwa asilimia 90. Alishinda kwa asilimia 84.Magu ndiye rais wa kwanza kushinda uchaguzi asilimia 90
Mkuu umeamua kutuongopea waziwazi?kupitisha wagombea ambao hawakushinda kura za maoni
Hata mimi naona huelewi nachosemaMimi nimekoswa na risasi si chini ya mara tatu...
Kiongozi we kaa kimya tu, huelewi unachozungumza.. we kaa kimya tu...
Mimi sio mwanasiasa nasema ukweli. Na kwa sasa watu wanaogopa kumsema vibaya Magu kwa kuogopa kukosa wafuasi l. Nyerere ndiye aliyetengeneza huu mfumo na Magubndiye aliyewaonyesha watu jinsi unavyoweza kutumika.Hii sio kweli mkuu, nyerere , mkapa, kikwete walifanya hivyo
Watu hawakuanza kutekwa kipindi ch magu. Umesema watu waseme ukweli lakini wewe unasema uongo. Wakati wa nyerere watu walitekwa, wakati wa mwinyi watu walitekwa, wakati wa mkapa, wakati wa kikwete ni juzi tu lakini ushasahau. Ungesema wakati wa magu ilizidi ungekua sahihi lakini sio kwamba zamani utekaji haukuwepo
Magu hajawahi kushinda kwa asilimia 90. Alishinda kwa asilimia 84.
Raisi wa kwanza kushinda kwa asilimia 90 no nyerere, wa pili mwinyi na wa tatu ni samia
Mkuu umeamua kutuongopea waziwazi?
Ccm wamekua na hii tabia ya kupitisha wagombea ambapo walianguka kura za maoni kwa muda mrefu. Nakupa mfano rahisi tu wakati wa kikwete Stephen masele alishinda kura za maoni lakini akapitishwa kishimba
Mkuu umeanza kufatilia siasa miaka mitano iliyopita? Hii tabia ya kupitisha walioshindwa wanayo siku zote, utofauti ni kuwa zamani hakukua na mitandao kama sasa
View attachment 3546568
Mkuu wewe unasema kweli? Naomba unitajie uchaguzi gani magu alishinda kwa asilimia 90 Kama ulivyosema?Mimi sio mwanasiasa nasema ukweli. Na kwa sasa watu wanaogopa kumsema vibaya Magu kwa kuogopa kukosa wafuasi l. Nyerere ndiye aliyetengeneza huu mfumo na Magubndiye aliyewaonyesha watu jinsi unavyoweza kutumika.
Hata mimi naona huelewi nachosema
Mafwele amefirwaHakuwa na akili za kufanya analysis. Alijaliwa mdomo tu wa kubwabwaja, lakini kutathmini risk na kufanya mitigation alikuwa ni SIFURI kama alivyopata matokeo ya NECTA Zero division pale B Mkapa Sekondari.
No regrets kwa yaliyompata, mwana kulifind na mwana kalipata. Amsalimie JPM huko aliko
Unafikiri ukombozi utakukuta upo ndani na mkeo?Mimi sio mpiga kurs na wala sikua muandamanaji. Sasa mkuu umezunguka na iveco ya jeshi mpaka sasa mmekamilisha kitu gani? zaidi ya kuleta maafa ?
Point toka tuingie vyama vingi 2020 wabunge walikuwa asilimia 90 wa ccm . Huo sio ushindi wa 90 %Mkuu wewe unasema kweli? Naomba unitajie uchaguzi gani magu alishinda kwa asilimia 90 Kama ulivyosema?
Pia nimekuwekea hapo taarifa kuwa walioahinda kura za maoni kukkatwa haikuanzia wakati wa magu, hiyo tabia ccm wamekua miaka mingi.
Pia kusema utekaji ulianza wakati wa magu ni uongo mkubwa huu. Magu alizidisha utekaji na kuwa mkubwa lakini utekaji ulikuwepo miaka yote
Hizi ni kauli za Pro-regime,kudharau watanzania na kuwadogosha kwa Kila kitu humu Jamvini.Kila siku humu mnapiga kelele 'Watanzania waoga, Watanzania ni nyumbu, Watanzania hawana akili' wakiamua kupambania haki mnaanza 'Walijazwa, hakuna walilofanya, ilkuwa blunder
Hilo jamaa ni lis3ng3 sana, ni choko kabisa, huwezi kuongea kwa kejeli eti "mlikamilisha nini?"..Hizi ni kauli za Pro-regime,kudharau watanzania na kuwadogosha kwa Kila kitu humu Jamvini.
Kiongozi angalia kauli zako , mimi pia sipendi kejeli, ni bora unitukane tu...100 others mkuu mimi si muumini wa matusi, tuishie hapa kwa kutokukubaliana
Hata mimi naona huelewi nachosema
Kwa hio Ndugu Nyerere alijaza wazanaki serikalini ? Mwinyi alijaza wa pwani serikalini ? Mkapa alijaza wamakonde serikalini ? Kikwete alijaza wakwere serikalini ? Samia amejaza wazanzibari kwenye teuzi za wilaya nyingi huku Bara. Samia alijifunzia wapi kujaza watu wake. Na bado tusubiri Rais ajae 2030 ataendeleza hii hali.Hii sio kweli mkuu, nyerere , mkapa, kikwete walifanya hivyo
Watu hawakuanza kutekwa kipindi ch magu. Umesema watu waseme ukweli lakini wewe unasema uongo. Wakati wa nyerere watu walitekwa, wakati wa mwinyi watu walitekwa, wakati wa mkapa, wakati wa kikwete ni juzi tu lakini ushasahau. Ungesema wakati wa magu ilizidi ungekua sahihi lakini sio kwamba zamani utekaji haukuwepo
Magu hajawahi kushinda kwa asilimia 90. Alishinda kwa asilimia 84.
Raisi wa kwanza kushinda kwa asilimia 90 no nyerere, wa pili mwinyi na wa tatu ni samia
Mkuu umeamua kutuongopea waziwazi?
Ccm wamekua na hii tabia ya kupitisha wagombea ambapo walianguka kura za maoni kwa muda mrefu. Nakupa mfano rahisi tu wakati wa kikwete Stephen masele alishinda kura za maoni lakini akapitishwa kishimba
Mkuu umeanza kufatilia siasa miaka mitano iliyopita? Hii tabia ya kupitisha walioshindwa wanayo siku zote, utofauti ni kuwa zamani hakukua na mitandao kama sasa
View attachment 3546568
Mkuu unazungumzia ushindi wa uraisi au wa wabunge?Point toka tuingie vyama vingi 2020 wabunge walikuwa asilimia 90 wa ccm . Huo sio ushindi wa 90 %