Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

kabla ya hapo mkuu watu walishaanza kujazwa kila kitu kipo yente mkuu
Una maana gani kusema walijazwa?
Hivi unafikiri watu kupinga uchaguzi ni 29 OCT pekee? Huko nyuma ilishatokea lakini haikuwa na nguvu..
Serikali ilikuwa imetofautina pakubwa na sehemu kubwa sana ya makundi...
Vyama pinzani
Taasisi za kidini -RC ,Kanisa la Gwajima, taasisi zingine...
Wanaharakati
Wananchi
Wanachama wa chama dola.
Watu kutoka vyombo vya ulinzi na usalama.

Hivi unategemea nini hapo?
Hayo makundi yote kwa mara ya kwanza katika historia waliungana kuipina serikali, kumbuka wafuasi wa Gwajima walivyofungiwa kanisa na kupigwa virungu kanisani, kumbuka wanachama wa CHADEMA waliopigwa mahakamani, kumbuka wanaharakati kutoka Ke na UG waliofanyiwa unyama baada ya kuja kusikiliza kesi ya Lissu.
Kumbuka pia wanachama wa CCM ambao walipinga kutofanyika kwa kura za maoni, kumbuka pia RC viongozi walichofanyiwa, kumbuka watu waliotekwa na kuuawa.... kumbuka kashafa za ufisadi na wizi... uonevu wa polisi n.k

Hayo matukio yote ndio yaliwapa hasira watu wakatoka 29 OCT, na hayo makundi yalikuwa na lengo moja... hivyo kila mmoja aliguswa kwa upande wake.

Kusema kwamba walijazwa si kweli... mtu kama hajaguswa hata umjaze vipi hawezi kuandamana, kama unasema Mange ndiye aliwajaza, unakumbuka alishaitisha maandamano wakati wa JPM, nani alitoka?

Hivyo raia walikuwa na hasira ndani kwa ndani, hivyo 29 OCT lazima tu kingenuka hata pasipo kujazwa...

Na kila kundi hapo kwa namna moja ama nyingine walichukizwa na muenendo wa serikali...

Na hilo suala halijaisha... ndio maana wanakuambia wafanye maridhiano, na watu hawataki maridhiano...
 
mange kuitisha maandamano wakati wa magu na watu kutokutoka --- hoja hii sasa si ndo unaungana nami?

maelezo yote uliyoweka , unaweza ukawa sahihi, lakini d9 nini kikatokea? baada ya d9 hakuna swali lolote mkuu ulilojiuliza okt 29 iliwezekana vipi kama sio kuinizwa mkenge?
 
Kwahiyo mnataka kuniambia POLEPOLE AMEONJESHWA SUMU ALIYOSHIRIKI KUITENGENEZA?🤔
 
mange kuitisha maandamano wakati wa magu na watu kutokutoka --- hoja hii sasa si ndo unaungana nami?

maelezo yote uliyoweka , unaweza ukawa sahihi, lakini d9 nini kikatokea? baada ya d9 hakuna swali lolote mkuu ulilojiuliza okt 29 iliwezekana vipi kama sio kuinizwa mkenge?
Kiongozi inaelekea hujawahi kuwepo kwenye vurugu zozote za kisiasa ikihusisha polisi dhidi ya raia...
Ndio maana unasema hayo..

Labda nikuambie tu, Tanzania ingekuwa na sera kama za US, kuuza risasi hadi supermarket, kawaida kukuta mtu ana bunduki 17 ndani amezipanga ukutani, basi elewa tu siku hio moto ungewaka... sijui kama utanielewa..

Unafikiri kwamba hilo limeisha, si kweli.
 
Angeweza kugombea urais 2030 akiwa ndio kwanza anafikisha miaka 50 bado kijana mbichi mwenye maono makubwa ya kiuongozi.

Kiburi na ujuaji huwa sumu kwa wanasiasa wenye umri mdogo.
Naona unalaumu victim, mashujaa wako watekaji na wauaji husemi chochote, kukosoa au kutokubaliana na chama chako pendwa ni kutekwa, jela au kuuliwa, wameshakunywa damu hata nyie hamko salama mtafikiwa tuu
 
Hawezi kuingia nchimi kinyemela. Sidhani. Aliinhia kihalali, ndiyo akajipanga...which was a mistake
Jamaa amekaa Cuba lakini hata mambo ya Cuba hayajui kabisa.

Osama aliacha kabisa kitumia internet wala technologia yoyote ya kisasa ndio maana aliwasumbuwa Marekani.

Osama alikuwa anawasiliana kwa flash na ujumbe wa mdomo kwa mdomo siyo simu.

Sasa mtu mbwembwe zote zile kumbe yupo Ununio, yani jamaa kaleta kituko cha karne.
 
Alitumia mitandao Ili awafikie watanzania kirahisi, ni bahati mbaya tu aliuzwa.

Ila ujumbe wake kwa umma umefika.
 
Kiongozi inaelekea hujawahi kuwepo kwenye vurugu zozote za kisiasa ikihusisha polisi dhidi ya raia...
Ndio maana unasema hayo..

Labda nikuambie tu, Tanzania ingekuwa na sera kama za US, kuuza risasi hadi supermarket, kawaida kukuta mtu ana bunduki 17 ndani amezipanga ukutani, basi elewa tu siku hio moto ungewaka... sijui kama utanielewa..

Unafikiri kwamba hilo limeisha, si kweli.

Nimeweka maswali muhimu hapo tushirikishane,
 
mange kuitisha maandamano wakati wa magu na watu kutokutoka --- hoja hii sasa si ndo unaungana nami?

maelezo yote uliyoweka , unaweza ukawa sahihi, lakini d9 nini kikatokea? baada ya d9 hakuna swali lolote mkuu ulilojiuliza okt 29 iliwezekana vipi kama sio kuinizwa mkenge?
Serikali chini ya JPM haikutofautiana na makundi mengi kama ilivyo awamu hii, hivyo movement ya Mange haikufanikiwa..
JPM alikuwa mjanja, alikuwa akipambana na mafisadi/watumishi wasio na maadili huku akijiweka upande wa wananchi, na hilo ndilo kundi lenye nguvu kuliko yote kama nilivyokuambia... nadhani ulimsikia mara nyingi tu akisema 'nime sakrifaisi maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini'.

Hukusikia wakati wa JPM waumini wakivamiwa na kupigwa kanisani, au padre kutekwa, hivyo hakukuwa na ugommvi na taasisi za kidini...

Wakati wake alikuwa na ugomvi na vyama vya upinzani, kwani aliminya demokrasia na kumtandika Lissu risasi.

D9 wananchi walitulia kwa sababu ya hofu ya kupigwa risasi.

Thats it...
 
Kama ni hivyo, maana yake okt 29 walichomoka licha ya mgombea kuwaeleza yeye ndo kamanda mkuu na hakutakua na maandamano, ila walikua na taarifa za ulaghai kutoka kwa wanaharakati wetu wskiwa na "za ndani" kama kawaida yao. Jambo ambalo mpaka sasa mahesabu yameshapoteana na hakuna ufafanuzi kutoka kwa wanaharakati juu ya nini kimefeli

Conclusion yangu ni kwamba waandamanaji/watu walilaghaiwa na kuingizwa mkenge okt 29 . --- na harakati na namna hii ya kuingizana mkenge ni mbaya sana hata kama kweli kuna vitu tunavidai
 
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
I dont think he is still alive. Kwa kilichotokea 29/10, kuua binadamu kama kuku, kwangu mimi nilishakata tamaa kwamba waliopotea wote watakuja kupatikana tena. BTW kuna zile habari ziliandikwa kutoka nje kuwa alifariki, sidhani kama ilikuwa uongo! Ila kama atakuwa hai wengi tutafurahi.
 
Would you go forward and confess you have collaborated in something bad in the past, if you know people will blame you instead of giving you support?
How will we know crimes committed behind the curtain?
Confession of the obvious? That's not confessing that's admitting. He did the right thing though to admit and come back to his senses, better late than never.
 
Kama ni hivyo, maana yake okt 29 walichomoka licha ya mgombea kuwaeleza yeye ndo kamanda mkuu na hakutakua na maandamano, ila walikua na taarifa za ulaghai kutoka kwa wanaharakati wetu wskiwa na "za ndani" kama kawaida yao. Jambo ambalo mpaka sasa mahesabu yameshapoteana na hakuna ufafanuzi kutoka kwa wanaharakati juu ya nini kimefeli

Conclusion yangu ni kwamba waandamanaji/watu walilaghaiwa na kuingizwa mkenge okt 29 . --- na harakati na namna hii ya kuingizana mkenge ni mbaya sana hata kama kweli kuna vitu tunavidai
Hakukuwa na kuingizwa mkenge. Kiufupi ni kuwa hakuna aliyekuwa ametarajia Samia ataamuru watu wapigwe risasi kwa kiwango kile, hivyo mauaji yalipoanza kila mtu akawa kama amepigwa bumbuazi. Wale wauaji waliokuwa wanazunguka mtaani kuua, hata wananchi (kama siyo kupigwa butwaa) tungeweza kuwanyang'anya zile silaha na kuwageuzia. NB: sikatai kuwa jeshi lilitakiwa kufanya zaidi, ila ugeni wa kilichotokea kwa nchi yetu ndiyo ulisababisha kila mtu apate mshtuko na kushindwa cha kufanya.
 
I dont think he is still alive. Kwa kilichotokea 29/10, kuua binadamu kama kuku, kwangu mimi nilishakata tamaa kwamba waliopotea wote watakuja kupatikana tena. BTW kuna zile habari ziliandikwa kutoka nje kuwa alifariki, sidhani kama ilikuwa uongo! Ila kama atakuwa hai wengi tutafurahi.
Inasikitisha sana.

Upo sahihi,kuna uwezekano mkubwa sana hao waliotekwa lazima wamepitia madhila yaleyale kama wananchi wenzao Oktoba 29.
 
Back
Top Bottom