Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Hakusema kuwa CCM tatizo alingangania kuwa system ya kina Rostam. Lakini angeukana CCM na kusema matatizo yalianza na Magufuli angekumbukwa leo. Tumeshamsahau kwa sababu aliongelea ujinga na upumbavu kuwa wabadilishe mgombea.
naunga mkono
 
Yule kaka yake mimi nilikuwa naangalia body language yake na maneno yake nikahisi huyu anaongea kwa sababu ya maumivu tu hana mkakati wowote. Mtu mwenye mkakati ha-record clips kutishia kuwa anakwenda kufanya jambo....
Uko sahihi, wa kutenda huwa hasemi! Hatishii
 
Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!

Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!

Nakuombea huko ulipo tukuone tena.

AMINA
Alishasema kuwa alirudi makusudi ili kama kumuua wamuue hapa hapa. Kwahiyo alikuwa tayari kwa lolote. Kwakifupi Kikwete, Samia, Abdul, Mafwele na wasengè wengine watawajibika, ni suala la muda tu.
 
Kanisa katoliki limemponza pole pole na wao wenyewe wamekaaa kimyaaaaa....maisha haya dah
 
Kabisa mkuu..amewahi kumuita lissu kibaraka wa Mabeberu hapa nchini..alikuwa ni kiongozi mjivuni sana kila anapo pata airtime.
Sahihi..yeye na Jiwe wake,waliona hii nchi kama mali yao binafsi, sisi tulikuwa kama sisimizi tu..KIBRI,UJUAJI,UJIVUNI,na ROHO MBAYA ziliwajaa
 
wakuu tutakubaliana kwamba ccm haifanyi vyema na watu wengi hawaitaki.

ila hamuwezi kukataa msukumo wa wanaharakati na taarifa zilizo sio sahihi --- nataka kusema kwamba taarifa zile nyingi zilikua za kilaghai. na kama hamku-anticipate kutawepo na risasi wakuu basi serikali ya ccm tulikua tiunaisingizia kwamba ni katili hapo awali.

kwa maneno waliokua watu wanasema watafanya ile okt 29 - nyi mnaona kweli ingewezekana hali kutulia bila shaba? --- ukiachana na wanaharakati wetu waliopo nje ya nchi wale wa ndani ya nchi nyi mmeona wakiandamania wapi? - kama issue ilikua mabomu ya machozi na maji ya kuwasha tu?

tuendelee kuangalia hali ilivyo --- ila kuna siku mtakuja kukiri okt 29 ilikua blunder kubwa sana kwa walioandaa na walioisupport - wote walikua na uwezo mdogo wa kufikiri

Unajilisha upepo mkuu. Protests/riots za Oct 29 hazikua na kiongozi rasmi. Zilikua "organic" na ndiyo maana zilikua za kihistoria - kubwa. And, Again, chanzo cha hayo maandamano ni vigezo vingi sana ambavyo havikuibuka ghafla. Hao "so called" wanaharakati walienda na upepo tu. Hakuna kazi kubwa waliifanya. Shida yako unaangalia dalili kubwa ulioiona wakati tukio linafikia tamati. Huangalii vyanzo.
 
Poa mkuu
 
Alikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Ni sawa na chawa wa CCM akitetea mfumo wa Serikali batili, mwishowe nae anatekwa na kuuwawa. Nyoka anayeuma kote kote siyo wa kucheza nae
 
Kanisa katoliki limemponza pole pole na wao wenyewe wamekaaa kimyaaaaa....maisha haya dah
mkuu una uhakika? taifa lote kwq ujumla limemponza polepole maana polepole alijitoa mwanga kwa taifa zima na sio taasisi moja moja sasa big show umeshindwq ku reason kweli
 
natamani linalowezekana Mungu ampe nafasi tena ya kurudi akiwa hai hakufanya kwa mapenzi yake hakua mbinafsi hakutaka cheo chochote hakusukumwa na mtu yoyote kufanya harakati za kuleta mabadiliko eh Mungu mpe nafsi ya utulivu popote alipo polepole
 
Back
Top Bottom