Nimekukumbuka Polepole: You made a terrible mistake!

Polepole hakuwa muhanga. Polepole alikuwa mpigania fursa, alikuwa mtu aliyeshiriki kuunda mfumo huo. Hakuwa na shida na mfumo alikuwa na shida na rais Samia.

Muhanga ni innocent victim.

Polepole was not an innocent victim.

Polepole was jockeying for position.

Kama hujasema specifically mimi nilifanya hili na hili na naomba radhi hujaomba radhi unatafuta public sympathy kisanii tu.
Hii Lugha wengi wao hawawezi ielewa!! Ndio maana Polepole alipuuzwa sana na wanaCCM wenzie akawa anapendwa na kuliliwa na waliojiita wana mageuzi!!!

Shida kuu ya Polepole ilikua ni Samia si vinginevyo!!
 
Siku moja tulisafiri pamoja naye akiwa Katibu wa itikadi na uenezi enzi za Magufuli nikabahatika kumuuliza maswali kadhaa na alinipa majibu yaliyonishangaza sana juu ya hawa watu walioamini Magufuli alikuwa masihi oengine baada ya Yesu!

Nilimuuliza huoni hii biashara yenu ya kununua wabunge wa upinzani mtanyamazisha nchi na hakutakua na wakuhoji wala kusemea wasio na sauti? Nilimuuliza kwakua nilifahamu mengi sana katika utawala wao! Alinijibu Magufuli ni mtumishi mwema wa Mungu hakuna haja ya watu kuwa na wapinzani wa kuwasemea!! Akaenda mbali na kunambia watanzania sasa wana masihi hawana haja ya kuhofu!

Nikamuuliza kama Magufuli ni masihi anapata wapi hofu ya kununua na kunyamazisha wabunge wa upinzani?
Alinijibu vile vile kwamba kwa sasa nchi haihitaji sauti kinzani.

Waswahili walisema 'mchimba kisima huingia mwenyewe' kwa asilimia kubwa Samia bado anaogelea kwenye ule ule mfumo walioasisi kina Polepole na itachukua muda sana ile legacy ya Magufuli kufutika ndani ya CCM na Serikali.

Ndo maana naunga mkono hiyo hoja yako... Polepole alitoa sauti ambayo yeye binafsi alishiriki kuhakikisha inazimika Tanzania.
Humphrey Polepole hath drunk of the same cup which he made
enemies of Magufuli to drink. There is no cause to sympathise him of the harm that hath befallen him. For he that taketh up the sword shall perish by the sword. (Mathew 26:52)
 
Who diggeth a pit shall fall therein. HPolepole was left with not even a grain of wisdom (not even a jot or tittle). Divine justice has solved his retribution, pure karma-like phenomenon. The one plotting harm ends up ensnared by his own device, and his foolish words only hasten his downfall. It's a timeless warning echoed across cultures!
 
Humphrey Polepole hath drunk of the same cup which he made
enemies of Magufuli to drink. There is no cause to sympathise him of the harm that hath befallen him. For he that taketh up the sword shall perish by the sword. (Mathew 26:52)
Kwanini hamjampeleka mahakamani Sasa,mkamshitaki kwa makosa yake?...
 
Karma has taken its toll, and of course karma is the best jury. It operates as a cosmic automatic justice system: what goes around comes around, eventually, somehow.
 
Kwa hiyo waliompoteza Polepole nao karma inawawinda sio?..
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Yaani mtu alianza na kusema mama aondoke wamwage oili waingie kwenye uchaguzi. Aliogopa kuongelea mabaya ga Magufuli akitegemea mama akiondoka atapata cheo. Huyu jamaa angekuwa anaipenda nchi angesema siri zote bila kuogopa na kuisema CCM haifai leo hii angekumbukwa. Lakini tamaa ndogo aliyokuwa nayo ya uongozi ndio iliyomfanya ashindwe kufanya hayo maamuzi.
Alikiwa mpumbavu kupitiliza aliamini mfumo walioutengeneza yeye na baba yake mdogo wa Chato ungemuogopa.
 
Back
Top Bottom