Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 17,564
- 27,633
Hakuwa na akili za kufanya analysis. Alijaliwa mdomo tu wa kubwabwaja, lakini kutathmini risk na kufanya mitigation alikuwa ni SIFURI kama alivyopata matokeo ya NECTA Zero division pale B Mkapa Sekondari.Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!
Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!
Nakuombea huko ulipo tukuone tena.
AMINA
No regrets kwa yaliyompata, mwana kulifind na mwana kalipata. Amsalimie JPM huko aliko