King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,380
- 99,178
JF ya cku hz bwana m2 anaandika sredi anavyofikiria kama status za www.facebook.com
wee mungu tangu lini kaleta ukimwi!!?
Hiyo ni sms nimetumiwa jana na mpenzi wangu ambae niko kwa takribani mwaka 1,kwamba tangu tunaanza nae tayari alikuwa ameathirika ila alifanya makusudi kuaniambukiza kwa kweli usiku sikulala, asubuhi nimewahi angaza majibu yametoka nipo vizuri.
ila si wanasemaga kuwa kila kitu hapa duniani ni kazi ya mungu
au ye aliumba mbingu na ardhi tu mengine yakafanywa na kazi za mikono yetu.....
Kweli usiku sikulala, asubuhi nimewahi angaza majibu yametoka nipo vizuri.