Hiyo ni sms nimetumiwa jana na mpenzi wangu ambae niko kwa takribani mwaka 1,kwamba tangu tunaanza nae tayari alikuwa ameathirika ila alifanya makusudi kuaniambukiza kwa kweli usiku sikulala, asubuhi nimewahi angaza majibu yametoka nipo vizuri.
Hongera, waweza check baada ya siku kadhaa tenaHiyo ni sms nimetumiwa jana na mpenzi wangu ambae niko kwa takribani mwaka 1,kwamba tangu tunaanza nae tayari alikuwa ameathirika ila alifanya makusudi kuaniambukiza kwa kweli usiku sikulala, asubuhi nimewahi angaza majibu yametoka nipo vizuri.
Wa nini?Muone kwanza!
UKIMWI kwani si umeumbiwa binadamu, wewe ni binadamu basi sawaaaa kuupata hakuna noma. Tatizo Mungu nae ameuweka pabaya mweeehh. Ungekuwa hata mkononi au kidoleni huenda tungepona ila pale kati kati ndio ametumaliza walahi.
Muone kwanza!
mith u.......
yaah! kuna vifaa vya mtasiwa haviaminiki kabisa!false negative hiyo.....jipange
UKIMWI kwani si umeumbiwa binadamu, wewe ni binadamu basi sawaaaa kuupata hakuna noma. Tatizo Mungu nae ameuweka pabaya mweeehh. Ungekuwa hata mkononi au kidoleni huenda tungepona ila pale kati kati ndio ametumaliza walahi.
Mungu hajauweka ukimwi. Mungu angeuweka, ungekuwa unakimbiliwa na kila mtu. Acha uongo kabisa.
wee mungu tangu lini kaleta ukimwi!!?