Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Wanaume wengi sasahivi uvumilivu hatuna kabisa..
 
Unge share hapa whap happened ingekuwa poa sana.


Ni story ndefu sana mkuu data tena sanasana! Oneday nitasimulia mkasa mzima naimani watu wengi watapata kujifunza kitu kupitia story yangu.
 
us
Yaani acha tu najuta asee.hv vitu c vy kufatilia asee hp nahc roho inatoka
itake yakukute aisee ni balaa utatamani usimuone milele machoni mwako kama ni mkeo inauma hatariiiii acha kabisaa kuchapiwa ni mbaya kuliko kupoteza fedha na vitu vingine lakini sio utamuuuuuuuuu!!!!
 
Sorry bro, that is the dark side of force. Once you go there it is impossible to return back
 
Sikiliza song la rich mavoko.... kuchapiwa ni siri ya ndani lol... ha ha habari ndio hiyo hiyo nasikia harufuu ya demu wa adden kunyosolewa... lol
 
Wanawake waaminifu duniani hawajaisha, kama hujamuao na umedhibitisha sio mwaminifu na wewe unauhakika huchepuki, jibu rahisi muite mweleze, kisha muache. Kama ni Mke hapo busara zaidi anahitajika.

Mchumba kumuacha maumivu yake hayakaribii kabisa maumivu ya kumuacha Mke.

Uwe huru usiendeshwe ovyo na vitu vitakavyokunyima uhuru.

Maisha mafupi mkuu
 
Sasa hapo tukushauri nn mkuu? Ilibidi uje mapema kabla hujaamua kumfuatilia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom