GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Nakupa rai moja, ingia Facebook yake tuma ujumbe tuonane, sehemu flani soon as possible. halafu futa msg.
Kama huyo jamaa atafika hio sehemu atamtumia msg mpenzi wako kwa what's nimefika
Hapo sasa huyo demu ndio ataanza kuhoji, Najua ujumbe ataupata na atajiuliza masuali mengi ya usaliti