HahahahhahhhahhaUkiwafatilia hawa watu utapasua kichwa. Ni watu wametoka kwenye mbavu zetu ila wanasumbua balaa..
Naombeni ushauri wadau,
Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.
Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.
Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
Pole eeenh!mmmmh! ngoja nijipitie zangu kimyakimya donda langu bado halijapona
Ni kwelUmepewa lifit unataka kupiga na honi?
Kumuacha nahisi siwezi,ingawa me pia huko nje nnao wa kutosha ila hajui.daahh wanawake hawaAisikudanganye mtu demu wako mchunguze 100%., kama umegundua hivyo vitu ni vyema mukaachana mapema sana.
Kiruuuuuuuu kumbe hata naww unacheat?Ni kwel
Kumuacha nahisi siwezi,ingawa me pia huko nje nnao wa kutosha ila hajui.daahh wanawake hawa

Naombeni ushauri wadau,
Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.
Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.
Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
Kama yeye ni mlokole atapigaje kiroba?Kaka adden madada wa siku hizi hata ukiwachunguza hawajali sana sana atakuambia"smartphone hii ni yangu"
Achana nae,yy akiwa ana chat ww piga kiroba kutuliza akili
Kaaaazi kweli kweliNaombeni ushauri wadau,
Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.
Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.
Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
pole.....mmmmh! ngoja nijipitie zangu kimyakimya donda langu bado halijapona
Sasa kama huko nje unao wa kutosha mbona unatupigia kelele hapaNi kwel
Kumuacha nahisi siwezi,ingawa me pia huko nje nnao wa kutosha ila hajui.daahh wanawake hawa
Bongo ukimwi haujikuishaAisikudanganye mtu demu wako mchunguze 100%., kama umegundua hivyo vitu ni vyema mukaachana mapema sana.
Kwa hiyo mwenye wivu ajinyongeJinyonge mkuu... Moyo upumzike kwenda mbio