Uliyataka mwenyewe! chaguo lako mwenyewe! umependa kufanya hivo mwenyeweeeee.....!!!!! acha uisome nambaaa.... eeeeh!!! presha mbele kwa mbeleeeeeeee......Naombeni ushauri wadau,
Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.
Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.
Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
Nisubiri tupite wote..mmmmh! ngoja nijipitie zangu kimyakimya donda langu bado halijapona
hahahaaa. inauma lknmmmmh! ngoja nijipitie zangu kimyakimya donda langu bado halijapona
Yaani acha tu najuta asee.hv vitu c vy kufatilia asee hp nahc roho inatokahahahaaaaaaaaaaaa................duuuu, yakwako ndo ilikuwa kali, mi mwenzenu akuuuuuuuuuu, najijua siwezi kumuacha sasa pressure zanini?????
sishiki cm, wala nini akiamua ku cheat a cheat salama, huwezi kuwa nae muda woteee, so take care usirudie maana utapata ugonjwa wa moyo bureeeeeeeeeeeeeh..........
Nisubiri tupite wote..
hahahaaa. inauma lkn
Hahahhaha mali ni yake mtumiaji ni yeye unapaniki nnKuna kipindi niliingia kwenye inbox nikakuta inbox iko poa tu kwenye whatsapp hakuna message mbaya nikashusha pumzi kwamba yuko poa mara sms ya kawaida ikaingia imeandikwa "lini nitakutom**a tena?" ebwana alikuwa mwekundu kwa kipigo aisee

Akiweza anywe chai na pilipili....ndo ata enjoy zaidi.....Si ulitaka chai chai..Iweje ulalamike unaungua...
Hii kitu inauma km jipu.cjawah kuumiaga kmb inauma hv
Mtoto wa kiume utasemaje "akuuu" mbele ya vidume?hahahaaaaaaaaaaaa................duuuu, yakwako ndo ilikuwa kali, mi mwenzenu akuuuuuuuuuu, najijua siwezi kumuacha sasa pressure zanini?????
sishiki cm, wala nini akiamua ku cheat a cheat salama, huwezi kuwa nae muda woteee, so take care usirudie maana utapata ugonjwa wa moyo bureeeeeeeeeeeeeh..........