Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Mwambie tu unajua mawasiliano yake yote. Uone reaction
 
Tatizo mnakimbilia kuoa wanawake wasio wenu acha wakunyooshe
 
Moyo kwenda mbio ni kawaida siku utakapoanza kwenda polepole chukua tahadhari
 
Mi niliwai achwa kisa kuchati na wanaume. Nilijitetea kweli kua sionani nao hao wanaume ila sikuaminika. Tuache mambo ya kuchati upuuzi na wanaume wengine akati tuko kwenye mahusiano.
Usichukue uamuziwa pupa mkuu. Ukute anajifurahisha tu kwa chatting.
 
Kuna kipindi niliingia kwenye inbox nikakuta inbox iko poa tu kwenye whatsapp hakuna message mbaya nikashusha pumzi kwamba yuko poa mara sms ya kawaida ikaingia imeandikwa "lini nitakutom**a tena?" ebwana alikuwa mwekundu kwa kipigo aisee
Mkuu hukuuaa
 
Ni kwel

Kumuacha nahisi siwezi,ingawa me pia huko nje nnao wa kutosha ila hajui.daahh wanawake hawa
Sasa mkuu unalia nini tena wakati na ww unachepuka?
Hujui uzinzi ni dhambi na umekatazwa sana kwenye maandiko?
Kama ungelikua unayatambua haya wala hakukua na sababu ya kuumia kwa sababu malipo ni hapa hapa duniani... upimacho ndicho upimiwacho.

Lalamiko lako hapa lingefanya kazi iwapo ungekua hujawahi msaliti kabisa ila ww unacheat na yeye anacheat so ngoma dro.
Wewe ndio matokeo ya mkeo na pengine ndio sababu ya yeye kuchepuka... nasema hivi kwa sababu huwa anaiga matendo yako na alikua anamezea tuu huku akijua unacheat... plz msifanye uonevu.
NB: Wanaume tujitambue aisee maana vinginevyo tutakua wendawazimu au basi kuchepuka itakua ni haki yetu na sio haki ya wanawake kitu ambacho hakipo... dhambi ni dhambi tuu.
 
Kwa kipindi hichi nimejarib kutumia busara sn mosi nimezdisha mapenz kwke mara 1000.kingne yy haonyeshi km ana mambo anafanya cku zte anazidisha kunijal n kunienz profile zote kaniweka tumekumbatiana ananipost mitandaoni ila bado kila cku naona anaanzisha kuchat n watu fb.me nachotaka kufanya nimpagawishe zaid nione consequence itakuwane

Baada ya kumpagawisha imetokea nini?
 
hahahaaaaaaaaaaaa................duuuu, yakwako ndo ilikuwa kali, mi mwenzenu akuuuuuuuuuu, najijua siwezi kumuacha sasa pressure zanini?????
sishiki cm, wala nini akiamua ku cheat a cheat salama, huwezi kuwa nae muda woteee, so take care usirudie maana utapata ugonjwa wa moyo bureeeeeeeeeeeeeh..........
wewe ni chakla
 
Na kidemu kila siku ku chart na wanaume ila kinasema hakitomban nao nikua nakiweka nikioe ila nimekiweka kuwa kimchepuko bila chenyewe kujijua sitaki ujinga nafuta mwingine sasa ivi wakuoa dah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom