Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Nimekoma kumchunguza mpenzi wangu

Naombeni ushauri wadau,

Karibu wiki sasa nime hack Facebook, Whatsapp ya mpenzi. Awali sikutaka presha ya kujiumiza roho hivyo sikutaka kumfuatilia.

Juzi kati nikajaribu mautundu yangu.. Yesuuuu na Maria. Anachat na wanaume huyo! Sina amani, moyo unaenda mbio kila saa. Najuta kufanya hivyo maana amani yote imepotea.

Nisaidieni wadau nifanyeje maana nampenda kiama.
mle tigo
 
Aisee nilikua na manzi daily anakua busy whatsap na fb nikiuliza eti anachat na unco wake aishie nje ya nchi

Daah lahaula sku moja nikafanikiwa ku hack whatsapp na fb yke nilichokiona skuamin macho yangu hizo picha za utupu hazina idadi

Kilichoniumiza zaid ni unco wake kweli kabisa ila ndo hivy sasa

Nikatoa vitasa na upendo ukaishia hapo ila picha zote na chating nilizi copy nikawatumia ndugu zke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom