Nimekoma kuchukua machangudoa

Nimekoma kuchukua machangudoa

Wewe kumbe unae mke changudoa ulimchukua wa nini wkt unaenda kwa mkeo asubuhi tu.Chapati ni ile ile ikipikwa Tanga,Mombasa au Tukuyu umepata hasara kizembe
Amekwambia nani? zinatofaut zake bhana kufanana labda jina tu!
 
Wadanganye watoto wenzako nani mwenye akili analala na malaya hotel? Wenzako wanagonga wima kimoja unamlipa 20 yake unafukuza funga mlango lala.
 
habari zenu wadau

Jamani kisa kilichonikuta ni aibu hata kusimulia ni kuhusu hawa machangudoa

mimi ni mfanyabiashara wa mazao siku hiyo niliongea na wafanyabiashara wenzangu kabla sijaondoka kuelekea sokoni

wakaniambia aina ya mazao nilikuwa nayo ,buguruni ni sehemu muafaka na nitauza mara moja na kweli nilipotua mzigo nikauza baada ya hapo nikakaa nikisubiria pesa za malipo yangu

jioni nikalipwa ikawa siku imeshapita nikapanga kuondoka asubuhi ya pili,

baada ya kukabidhiwa tu fungu nikaenda kuchukua chumba cha kujihifadhi kwa usiku mmoja

nilifika pale gest nikapokewa na mhudumu wa mapokezi akanionyesha chumba nikaingiza mizigo yangu pamoja na magunia matupu,
nikapumzika kidogo nikaamka nikaoga nikaenda kidogo pembeni ya gesti kupata chakula kwa mama lishe

baada ya hapo nikarudi gesti nikawasiliana na mama watoto kidogo nikamaliza,
kwa kuwa hiyo gesti ina bar na kuna bendi ya muziki ilikuwa ikikonga nyoyo nikaona si mbaya kujisogeza na kupata moja moto moja baridi

kwa kuwa niko peke yangu nikaona nipate mwenzangu wa kupotezea muda kupitisha usiku na pia kingine kilichonipa msukumo nilitaka kuonja totozi wa jiji kubwa,

nikaangaza ndani ya ile baa nikaona msichana matata yupo peke yake akiwa na chupa moja mezani nikamsabahi nikamuuliza kama naweza kujumuika kwenye meza yake akanijibu nipo huru

stori za hapa na pale akanijulisha anasoma chuo kikuu mwaka wa pili si nikaona bahati iliyoje nami nikamueleza kuhusu biashara zangu nikaona kwa kuwa nataka kuondoka asubuhi sikuwa na haja ya kuchelewa pale mpaka usiku mwingi
nimkashika mkono msomi nikaingia nae ndani mwenzenu zile dakika za mwanzo nilijua nafanya nini lakini niliposema nipumzike kidogo nimekuja kushtuka nagongewa chumba na mhudumu anataka kusafisha duuh kuangalia pembeni yule msichana simuoni naangalia vitu vyangu na pesa hakuna nimebaki na yale magunia matupu nikatoka kasi mpaka mapokezi wakaniambia yule msichana aliwaaga anakwenda kuchukua nguo za kubadili kwa kuwa tutakaa pale gesti siku mbili jamani nimechukuliwa kadi zangu za ATM na vitambulisho na vibali vyangu vya kusafirishia mazao

jamani changu doa kaniibia jamani nilienda kuripoti polis wamenipa RB tu nimtafute naombeni msaada wenu

Hata kurudi nyumbani ni msala nimekoma na machangu doa

assanteni
Pole sana mkuu. Machanguduoa wa Dar sio wa kukaa nao hadi asubuhi mkuu....ni unagonga papuchi, unamlipa chake unasepa. Anyway, hili ni funzo kwa wengine wanaong'ang'ania kugegeda vyangudoa hadi asubuhi. Hawafugiki wale....ni kunguru kuliko kunguru unaowafahamu.
 
Wadanganye watoto wenzako nani mwenye akili analala na malaya hotel? Wenzako wanagonga wima kimoja unamlipa 20 yake unafukuza funga mlango lala.
mkuu mimi sio mwanaume wa dar mwenye kupiga kamoja tu na kuchoka sisi wa mikoani bila ya tatu au mbili bado sijalidhika.
 
pole kwa mkosi kakutia usingizi mzigo hukufaidi dah labda nikushauri mwambie mama watoto umevamiwa na majambazi
Amwambie tu mama kuwa alitekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa mahali kusikojulikana hadi wasamaria walipomuokota asubuhi akiwa hajitambui. Ama kweli mjini SHULE!
 
Uliwekewa kadawa kenye effect ya kusinzia mkuu pole sana.
Ndo tabia ya mjin hiyo.Siku ingine usilale na demu ucyemjua,n bora upige bao 1 umwache aondoke
Mimi naona ni bora kujigegedea changudoa wa barabarani na kusepa kuliko changu wa mtaani.
 
Back
Top Bottom