Nimekataliwa kisa ni mwanachuo

saiv hatutumii mapaziaa ndugu, afu kati ya vyote ulivosema sina hata kimojaa vyote nagongeaa tu kwa wadau.

Anyway naiikuna napofikia , wa chuo ninayee ila ukorean mwingi usitoke tu kwenda mjini anataka zawadi , lqkini yeye hataa hatoii
We mpe tu utabarikiwa....
 
Saiv kumtongoza manz akagundua ni mwanachuo sio dili bali anajua hapa pesa hakuna pili demu kukuambia kuwa sildi kwa mdomo hapo umeingizwa cha kike tatu kuwa et ni dem wa dukan sijui blah blah amna kitu sembuse tunakula masister au mke wa mjeda huyo wa dukan wahuni watashindwa vipi tulia mzee piga kitabu achana na hiyo nyupj ya dukan
 
Geti kali std 7
Ndio ndugu wazazi wake ni strict sana na yeye mwenyewe inshort ananielewaa , alikaata shule ili afanye biashara ndo anavonambia sasa sijui kama aliniingiza mjini au wazazi wake huko alikotoka waligoma kumsomesha
 
Saiv kumtongoza manz akagundua ni mwanachuo sio dili bali anajua hapa pesa hakuna pili demu kukuambia kuwa sildi kwa mdomo hapo umeingizwa cha kike tatu kuwa et ni dem wa dukan sijui blah blah amna kitu sembuse tunakula masister au mke wa mjeda huyo wa dukan wahuni watashindwa vipi tulia mzee piga kitabu achana na hiyo nyupj ya dukan
nyie mnaokula wake za wajeda mtaja liwa kimasihara mjue (kidding) . Yawezekana ni fix tu lakini nimekuelewa shule kwanza kaka
 
Namuunga mkono, wanachuo wengi ni waongo, matapeli, masikini , waigizaji na wasio na future, wapo wapo tuu, waachojua ni kuweka MBs kwa simu zao na kuposti ujinga ujinga, wakimaliza wanatupiga mizinga mikubwa hadi wazazi wetu wanatuachia laana, wanatulazimisha tuwapeleke mbuga za wanyama na nchi za kiarabu mpaka tunashindwa kumalizia majengo yetu, manina zao
 
Yan dogo unaongelea ku graduate form 4 na. Standard seveni utafkiri unaongelea vitu vya maana...hili neno ku graduate naona linatumika vibaya sasa..ndio maana ni ile ile ila sio kihivyo sasa mdau

Halafu kutongoza mahausigeli na akakukataa..kama mwanachuo umeiabisha tasnia..

Wew endelea kupiga puchu tu
 
Si utongoze wanachuo wenzako msaidiane kula mikate mkiishiwa, unakompliketisha maisha....
Anaweza sasa...ushaskia huyo dada ni geti kali halafu kaishia stnd 7....kuna geti kali alieishia stnd 7....huyo ni hausigel muuza duka...sasa kama levo zake ni za mahausigel unahis anauwezo wa kuchkua demu wa chuo...kwanza aseme ni chuo gan?..usikute veta..

Duh.nmemchambua kijana had nmemwonea huruma.anisamehe tu
 
Mmhhh????
Dogo kaja leo jf nin...yaan anadanganya wakongwe....et geti kali standrd 7....yaan badala aseme hausigeli yeye kaja na gia ya geti kali...aseme tu.hausigel muuza duka...hakuna get kali aliyeishia stnd 7....halaf kama kaamin aliyoambiwa na huyo haisigel bas mtoa mada anauwezo mdogo sana wa kufkiri..sidhan kama hata anasoma chuo..labda veta
 
Hahaha umeua.
Geti kali maana yake wazazi wa kishua, wana walinzi home, watoto wana elimu bora nk
 
Namuunga mkono, wanachuo wengi ni waongo, matapeli, masikini , waigizaji na wasio na future, wapo wapo tuu, waachojua ni kuweka MBs kwa simu zao na kuposti ujinga ujinga, wakimaliza wanatupiga mizinga mikubwa hadi wazazi wetu wanatuachia laana, wanatulazimisha tuwapeleke mbuga za wanyama na nchi za kiarabu mpaka tunashindwa kumalizia majengo yetu, manina zao
Wasamehe mkuu duu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom