Nimekata tamaa ya kuolewa

Nimekata tamaa ya kuolewa

Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.
 
Inawezekana alikutana na harufu ya panya mdomoni na ya samaki kunako.
 
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)

Nani ataoa mwanamke unaongea km umemeza kamusi!
 
Better is not good enough best is yet tocome kaa mkao was familia

Jiandae tu no slope kwenye ndoa kufwata principle,,,,akitaka aina timetable wala sehemu ya kusaini umeingia SAA ngapi
 
Shosti mbona umeandika kwa hasira?

Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.
 
Awe nae kisha siku wakiwa chumbani amngate dudu lake....

Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
 
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.

Akiri mgando sana hizi,kwahiyo unahisi kutokuelewa ndo heshima ama unahisi unaweza kuifanya elimu ikawa mbadala wa ndoa ama unajaribu kujitia ukichaa wakati wewe ni mzima,ama unaasume mamaako aliolewa kwasababu alikosa elimu ama kwa sababu alipata mme wa kumwoa?
 
umenichekesha hapo kwenye kujambiana kwenye shuka moja!!!! ha ha ha kwi kwi kwi kwi kwi...
 
mtoto sio kikwazo mdada ,Pia endelea kumuomba mungu kama ujuavyo mme mwema anatoka kwa mungu
Usikate tamaa
 
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)

mtoto sio kigezo mwaya usikate tamaa..... amini nakwambia.
 
Ni pm haraka sana
 
Akiri mgando sana hizi,kwahiyo unahisi kutokuelewa ndo heshima ama unahisi unaweza kuifanya elimu ikawa mbadala wa ndoa ama unajaribu kujitia ukichaa wakati wewe ni mzima,ama unaasume mamaako aliolewa kwasababu alikosa elimu ama kwa sababu alipata mme wa kumwoa?

analeta za kusoma mapenzini huyo ohoooooo!!
 
siamini namimi miaka deshi deshi mbele ntaanza kutoa maeye baada ya kuona holaa duh...ee mola..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom