Nimekata tamaa ya kuolewa

Nimekata tamaa ya kuolewa

Alomwambia mtoto ni kikwazo nani?????

Mtoto ni kikwazo kikubwa usimdanganye mwenzio, wanaume wengi tunaogopa uwezekano wa yeye kuendelea kuwasiliana na baba mtoto co kwa nia mbaya bt kwaajiri ya kumjulia mtoto hali hapo ndo inapokua kasheshe. Usijidanganye wanaume ni watu wa kufikiria mbali sana. Ndo maana wazazi wetu wa zamani walikua wanakataza kufanya mapenzi kabla ya ndoa c tukajifanya ni wa .com, changamoto zote hiz ni kutokana na kujifanya wadadisi na wajuaji. Sisemi hawezi kuolea kwan kila mtu na bahati yake bati anakazi kweli kweli kumshawishi mwanaume na ajaribu kuwa muazi kwa wanaume kuwa anamtoto akificha ndo itakua balaa zaidi jamaa akijua maana hata km alitoa mahali anaweza akawasusia.
 
Usijali mwaya, wanaume mbona wengi acha panic kwanza na utulie halafu mwenyewe utaona.Wewe bado mbichi kabisa

Nyie peaneni moyo tu, fanyeni ujinga wenu huko mpewe mimba mtegemee wanaume ni wengi. Me bado naamini km msichana atakua mgumu wa kutoa hadi ndoa, kwanza wanaume wengi wanapenda kupata bahati ya kuishi na mwanamke wa namna hiyo sema tu haiwezekani kwa kizaz hiki lakini km yupo namhakikishia kuolewa ni lazima. Wengi wao wanaolalamika hapa kuwa ni 30+ hawana sifa nzuri kila wanako kanyaga, Sio mtaani kwao, sio makazin wala sio vyuoni.
Ki ukweli wanaume kabla ya kuoa mwanamke anatamani hata kupata background kidogo ya binti kwa washkaji wanao mfahamu. Kuna mwingine kamaliza masela mtaani either kwa tamaa zake au shida zake. Mungu ni mwaminifu na hamtupi mja wake km ulijitahidi kujiheshimu lazima uolewe. Kuolewa sio siasa au sanaa kuwa utafanya ujanja uolewe, ni jinsi mwanaume atakavyo kusoma km ww ni msanii unaigiza au ni mwanamke kweli. Iliyobaki ni kuwashauri wadogozetu na kulea watoto kalika maadili mema na kuwaombea ili mambo yao yawe mazuri ukubwani.
 
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.

hahah,,yan hapo kwnye kujambiana kwnye shuka 1 mm hoi na kicheko,,ila umeonge point aisee
 
Sio kila mwanaume ana inferiority complex...

Mtoto ni kikwazo kikubwa usimdanganye mwenzio, wanaume wengi tunaogopa uwezekano wa yeye kuendelea kuwasiliana na baba mtoto co kwa nia mbaya bt kwaajiri ya kumjulia mtoto hali hapo ndo inapokua kasheshe. Usijidanganye wanaume ni watu wa kufikiria mbali sana. Ndo maana wazazi wetu wa zamani walikua wanakataza kufanya mapenzi kabla ya ndoa c tukajifanya ni wa .com, changamoto zote hiz ni kutokana na kujifanya wadadisi na wajuaji. Sisemi hawezi kuolea kwan kila mtu na bahati yake bati anakazi kweli kweli kumshawishi mwanaume na ajaribu kuwa muazi kwa wanaume kuwa anamtoto akificha ndo itakua balaa zaidi jamaa akijua maana hata km alitoa mahali anaweza akawasusia.
 
Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.

Acha ujinga wewe kusoma au kuwa na pesa sio mbadala wa ndoa. Hii ni dhana potofu kabisa. Huwaoni maprofessor na madoctor kama akina Asha Rose Migiro pamoja na nafasi na elimu zao bado wana ndoa na ndiyo heshima ba maisha yenyewe?

Huu ujinga wa kujipa moyo kuwa ukiwa na pesa huhitaji mume au mke sijui unatokea wapi. Ni namna ya kujipa moyo tu lakini ukweli unabaki kuwa maisha safi ya ujana na kuendelea ni ndani ya ndoa na sio kuwa chakula ya kila mtu.

Pia, sio kweli kuwa katika ndoa kumi kumi moja tu ndio ina amani. Hizi story za vijiweni tena za wasio na ndoa. Zipo ndoa nyingi zimetulia na kuna amani na furaha.

Kama huna ndoa usiconclude kuwa ndoa hazina amani au ni karaha.
 
Ndoa ndoano, mi nataka kumwacha mke wangu, nimekaa naye 17 yrs lakini rangi yake halisi ndyo naanza kuiona sasa. Jamani kama ingekuwa ni gari ya v8 niko tayari kubadilishana na power tiller!
 
Nyie peaneni moyo tu, fanyeni ujinga wenu huko mpewe mimba mtegemee wanaume ni wengi. Me bado naamini km msichana atakua mgumu wa kutoa hadi ndoa, kwanza wanaume wengi wanapenda kupata bahati ya kuishi na mwanamke wa namna hiyo sema tu haiwezekani kwa kizaz hiki lakini km yupo namhakikishia kuolewa ni lazima. Wengi wao wanaolalamika hapa kuwa ni 30+ hawana sifa nzuri kila wanako kanyaga, Sio mtaani kwao, sio makazin wala sio vyuoni.
Ki ukweli wanaume kabla ya kuoa mwanamke anatamani hata kupata background kidogo ya binti kwa washkaji wanao mfahamu. Kuna mwingine kamaliza masela mtaani either kwa tamaa zake au shida zake. Mungu ni mwaminifu na hamtupi mja wake km ulijitahidi kujiheshimu lazima uolewe. Kuolewa sio siasa au sanaa kuwa utafanya ujanja uolewe, ni jinsi mwanaume atakavyo kusoma km ww ni msanii unaigiza au ni mwanamke kweli. Iliyobaki ni kuwashauri wadogozetu na kulea watoto kalika maadili mema na kuwaombea ili mambo yao yawe mazuri ukubwani.

Nakuunga mkono mkuu 100%.Mwanamke anamegwa na vibabu na waume wa wenzake nani amuoe!!!
 
Ndoa ndoano, mi nataka kumwacha mke wangu, nimekaa naye 17 yrs lakini rangi yake halisi ndyo naanza kuiona sasa. Jamani kama ingekuwa ni gari ya v8 niko tayari kubadilishana na power tiller!

Yaani ww bangi imeshakuvuruga kabisa, kwahyo ww ulifuata rangi?
 
Akiri mgando sana hizi,kwahiyo unahisi kutokuelewa ndo heshima ama unahisi unaweza kuifanya elimu ikawa mbadala wa ndoa ama unajaribu kujitia ukichaa wakati wewe ni mzima,ama unaasume mamaako aliolewa kwasababu alikosa elimu ama kwa sababu alipata mme wa kumwoa?

Dah Nimependa point yako, nadhani dada atatupa majibu. Au atakaa kimya.

Kuolewa na kuowa ni heshima kubwa sana, nani lazima kwa kila mwenye uwezo, ninapo sema uwezo sio sio pesa, naamaanisha uwaminifu,na kuwa tayari kubeba responsible hasa mwanamme hapa Naongea, kwa mwanamke anapo fika umri wa balekh or mature, anatakiwa aolewe, haraka sana, ili kuepuka kufanya dhinaa, kwenda kinyume na matakwa ya mungu.
Hivyo huyu dada amemkosea mungu, unatakiwa ufanye Toba sana na ukweli, ili allah akusamehe makosa yako.
Kama muislamu unahitaji mume kweli na kwa haraha nenda msikitini siku ya ijumaa mapema, onana na shekh mueleze shida yako, baada ya sala ya ijumaa litatolewa tangazo, naamini wapo wanaume wenye shida kama yako.
Pasiwepo masharti makubwa ambao ikawa kikwazo kwa mwanamme, wengine hawana uwezo wa kifedha.
Kama Christian nenda church vile vile onana na padri mueleze shida yako,ila mi siamini hayo makanisa kwa sababu matukio mengi ya ubakaji huko ndio jikoni. Becareful.

Kama huyu dada hachagui dini nenda hata msijitini ijumaa ya leo,utakuja tena hapa Umepata mume. Na furaha
 
Ndoa ndoano, mi nataka kumwacha mke wangu, nimekaa naye 17 yrs lakini rangi yake halisi ndyo naanza kuiona sasa. Jamani kama ingekuwa ni gari ya v8 niko tayari kubadilishana na power tiller!

kwa nini mkuu? uache v8 upewe power tiller? mmmh au umefilisika kiuchumi? maana sources ya mifarakano huanzia hapo. ua jogoo kawa butu????
 
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana.

Umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.

Mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie.
Kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. Umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

Ni baada ya kupotezana kwa muda mrefu na rafiki yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa.

Wenzio tunatafuta mtoto japo mmoja huu mwaka wa saba wewe unaona mtoto kwako ni kikwazo.

Mtoto ni Baraka toka kwa Mungu. Huko kwenye ndoa kuna nini hasaaaaa?
 
Ndoa ndoano, mi nataka kumwacha mke wangu, nimekaa naye 17 yrs lakini rangi yake halisi ndyo naanza kuiona sasa. Jamani kama ingekuwa ni gari ya v8 niko tayari kubadilishana na power tiller!

Umenichekesha Visenti. I hope that you are just joking.....!!!
 
Dunia hii ya ajabu, wakati wengine wanafurahia kabisa, wengine wana majonzi. Dah, pole kwa kweli.
 
kwani lazima uolewe,,,, maisha bila ndoa hayaendi????? jitafakari wewe.... au kuna kitu cha zaidi unakitafuta kwenye ndoa? Lea mwanao, tena futa hiyo kauli ya mwanao ni kikwazo...... kama ni kikwazo kwa nn ulikubali ku.....t......wa? Kemea pepo hilo.... na ukatubu hiyo dhambi kwanza....
 
ndoa ndoano, mi nataka kumwacha mke wangu, nimekaa naye 17 yrs lakini rangi yake halisi ndyo naanza kuiona sasa. Jamani kama ingekuwa ni gari ya v8 niko tayari kubadilishana na power tiller!

aiseeehhh...!!!
Ndoa hizi mungu tusaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom