Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

My god win

JF-Expert Member
Jul 21, 2016
361
239
Habari wana janvi.

Mimi ni msichana nina miaka 27, kiukweli nimekata tamaa ya kuolewa. Kwa sababu wenzangu wote wameolewa.

Na mchumba niliyekuwa namtegemea kuwa mume wangu. Ndo huyo hayupo tayari hata kutambulishana hata kwao tu.

Kuna mda najuta kwanini nilianzia uhusiano nae. Maana ni mwanamke nliekuwa mwaminifu kwake sana. Na sijafikiriaga hata kuwa na mchepuko kutokana na kujiheshimu kwangu.

Lakini nimekata tamaa simuoni muoaji hapa. Naumia sana moyoni kama kuna mtu ambae alipitia hili au anapitia hili nadhani atakuwa anajua maumivu ninayopata. Kila nikifikiria sina tabia za ajabu.

Najishangaa mwenyewe. Mpaka nawaza labda nami ningekuwa ni mwanamke ambae hajatulia ningeshaolewa? Kwa sababu wale wenzangu walikuwa hawajatulia hata kidogo lakini wameolewa.Naumia sana. Ee Mungu nisaidie. Au nawaza kuna kitu gani labda nimefanyiwa?

Mawazo yenu fafadhali, angalau yatanitia moyo.

Japo kuna mengine yataniumiza bila kujali moyo wangu.
 
Kama kungekuwa na kukata tamaa mimi sijui ningesema nini, dear don't look at your age as the reason for you to get married, don't compare your self with your friends who are now married since you were born at different times, places and wombs.

Be expensive, don't take any Harry or Jones who comes just because you want to get married, set up your personal goals to achieve, can be building a house or go for a second masters what ever, love your self, treat your self with nice things that you can afford and last be prayerful.
 
dada tatizo upo kwenye mahusiano ila hamna mipango sawa ,... siwezi kuamini kwamba hakuna wanaume wanaokutongoza date mwanaume aliyekuzidi umri at list miaka mitatu halafu jaribu kumsikiliza kwa umakini mipango yake na si kumuuliza mtu mwenye nia ya ndoa hujikuta hata anagusia .. sasa unadate mwanume wala haonglei swala la future yenu zaidi bata tu halafu unategemea ndoa....... mahusiano lazima urisk sometimes unaweza poteza muda sana lakini kumpata muoaji ni issue,,,

angalizo pm watakuja wengi kwa gia ya ndoa lakini usikubali mjue kwanza .. but if u want sex for funny wakubalie
 
Kama kungekuwa na kukata tamaa mimi sijui ningesema nini, dear don't look at your age as the reason for you to get married, don't compare your self with your friends who are now married since you were born at different time, places and wombs.

Be expensive, don't take any Harry or Jones who comes just because you want to get married, set up your personal goals to achieve, can be building a house or go for a second masters what ever, love your self, treat your self with nice things that you can afford and last be prayerful.
Thank so much for your.natamani kungekuwa na watu wenye kunitia moyo kama Wewe. Lakini hata wale wakarbu nami wamekuwa wakiniumiza kwa Maneno makali. Eg:huolewi tu, Wenzio wadogo wanaolewa Wewe Bado tu.naumia.asante sana
 
Dada yangu usikate tamaa endelea kuwa mwaminifu Na Bora umwambie ukweli kama Ana nia ya kukuoa ni Bora umwambie kuwa unaumia akupe jibu sisi wanaume kuna muda tunaweza kuwa kwenye mausiano ya muda mrefu Na MTU Na akawa mwaminifu Na tusioe angalia njia nyingine rudisha mawasiliano Na Rafiki zako Wa kiume Wa zamani acha kuringia wanaume wengine inaweza ikawa Mungu ajampanga kuwa mume wako Mungu anamakusudi Yake Dada yangu kuwa mvumilivu Na mweleze ukweli Na ndoa sio kitu cha kukimbilia kuna mengi yamejificha ndani ya ndoa Dada. Mungu akufanyie wepesi katika hamu ya moyo wako
 
Asante kwa ushauri wako. Ila sijawahi huwa na mwanaume mwengine zaidi ya yeye tu.
 
dada tatizo upo kwenye mahusiano ila hamna mipango sawa ,... siwezi kuamini kwamba hakuna wanaume wanaokutongoza date mwanaume aliyekuzidi umri at list miaka mitatu halafu jaribu kumsikiliza kwa umakini mipango yake na si kumuuliza mtu mwenye nia ya ndoa hujikuta hata anagusia .. sasa unadate mwanume wala haonglei swala la future yenu zaidi bata tu halafu unategemea ndoa....... mahusiano lazima urisk sometimes unaweza poteza muda sana lakini kumpata muoaji ni issue,,,

angalizo pm watakuja wengi kwa gia ya ndoa lakini usikubali mjue kwanza .. but if u want sex for funny wakubalie
Namshukuru kwa ushauri wako [HASHTAG]#miss[/HASHTAG] chaga
 
Back
Top Bottom