Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.
NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.
Mie dadangu ana miaka 58 na ajakata tamaa ya kuolewa,yeye 28!!!!!!!mbona bado kigori?!!!!
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.
( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
kwani kwenye ndoa mnatafuta nn haswa
Kwa hiyo Mungu ndio alipanga dada huyu afanywe ngono zembe zembe bila protection apate mimba na jitu lililokuja kusepa, basi Mungu amuoe yeye mwenyewe manake kamlostisha halafu kamtafutia yule jamaa demu mwingine. Kwa sababu Mungu ndio kapanga kila kitu!
Maushauri ya kidini mabovu sana.
........mmmh!! si mchezoAcha tu!!!!hapa nipo macho juu atakaeniambia tu ai lavyu mguu kwa mguu namkimbiza kwa mama