Ney, jaribu kumumwelewesha rafika yako kuwa Ndoa ilikuwa kila ki2 kwa mwanamke zaman kwa sababu mama zetu hawakupata fursa ya kusoma sana ivo waliona kuolewa ndio heshima, lakin kwa sasa mambo ni tofauti, wanawake tunasona na kutafuta pesa sambamba na wanaume, ikiwa mwanamke ni mtafutaji wa kweli ndoa ni bonas tu ila kama anamashaka na maisha atalazimisha ndoa, mim simshauri kuhangaika kutaka kuolewa haraka kwa sababu ndoa ni ngumu sana, kila wana ndoa kumi ni moja ndio ina amani. ukweli aachane na mambo ya ndoa atulie afanye kazi kwa bidii na kumlea mtoto wake, mambo ya kujambiana kwenye shuka moja aachane nayo, ndoa za sasa ni karaha.