Aisee huyu mtu anaitaji ushauri
Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.
( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.
NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.
Natasha kaolewa na miaka 50+ alikuwa na mtoto na wajukuu 2 asikate tamaa mapema na asione huyo mtoto kama kikwazo as long as alikubali kuibeba mimba yake na kuzaa kwa uchungu hiyo ni baraka
aweke picha tukutasiminisheKijana Mpole njoo huku
Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.
NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.
Naitaji kuoa. Lakini nina watoto 8 kila mtoto ana mama yake na nuna umri wa miaka 36 kazi yangu ni Daktari (MD) kama yuko tayari tuwasiliane. Naishi Kibaha.
Naitaji kuoa. Lakini nina watoto 8 kila mtoto ana mama yake na nuna umri wa miaka 36 kazi yangu ni Daktari (MD) kama yuko tayari tuwasiliane. Naishi Kibaha.
Kuna ngoma humu zimegonga 35 na wala hazina presha....tulizana
Naitaji kuoa. Lakini nina watoto 8 kila mtoto ana mama yake na nuna umri wa miaka 36 kazi yangu ni Daktari (MD) kama yuko tayari tuwasiliane. Naishi Kibaha.