Nimekata tamaa ya kuolewa

Nimekata tamaa ya kuolewa

Dah alipokuzalisha ndio kakuharibia, ungekuwa huna mtoto ningekuoa!
 
alikosea tangu mwanzo. mume haombwi anatafutwa! asubiri bac waliofiwa na kuachana na wake zao watamwona
 
Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.

NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.

Una ela? ..unafikiri watu wa kuoa hakuna tatizo tunaangalia salio mengine badaye..kama salio linasoma yani nitakua mwaminifu kuliko unavyotegemea ela inatuliza aiseee wala ugomvi hautakuepo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom