Nimekata tamaa ya kuolewa

Nimekata tamaa ya kuolewa

Achana na habari za kuolewa kama umezikatia tamaa, karibu team kupopo na kula ujana. La wasiliana na team single maza

Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)
 
Kutambulishwa kwenye vikao vyaharusi huyu ndo Mrs flani, kushona sare yakitenge na mumewe wakienda kanisani, mengine English tuu
kwani kwenye ndoa mnatafuta nn haswa
 
........Ebu ajifunze formula za maisha. Hakuna hata kitabu kimoja cha dini kilichoandika kwamba usipoolewa ndo mwisho wa kuishi. Mpende sana mwanao, achana na huyo jamaa maana Mungu ndo mpangaji wa kila jambo. Unaweza kukuta ungeolewa nae ndo ungejuta kumfahamu!!
 
Naitaji kuoa. Lakini nina watoto 8 kila mtoto ana mama yake na nuna umri wa miaka 36 kazi yangu ni Daktari (MD) kama yuko tayari tuwasiliane. Naishi Kibaha.

kuna mwanamke nilizaa nae watoto wane na nimeoa mke mwingine na anawatunza vizuri sasa huyo mama ananisumbua na sasa mahindi hayana.soko siwezi mrudia sasa MD nikuunganishie huyo atatunza watoto vizuri ukizingatia ni mlokole na sio malaya nae ni afisa ugani singida vijijini
 
Aisee huyu mtu anaitaji ushauri

Nimekata tamaa ya kuolewa kabisa kwani niliedhan kuwa ndo mume wangu kanigeuka vibaya sana
umri wangu miaka 28 nimejitunza siku zote nikiamini na kumuomba mungu anipe mme mwema nimekua katika maadili ya kidini nimepoteza wachumba wengi baada ya kutofautiana yote ni baada ya kukataa kufanya mapenz kabla ya ndoa.
mwaka jana nikapata mchumba tukatambulishana kwa wazazi alinionesha mapenz kiukwel mpaka nikashawishika kufanya mapenz kabla ya ndoa ( najutia sana) ikapelekea kupata ujauzito gafla mwenzangu ananiambia anamchumba doct mwenzie .....
kweli nimekata tamaa ya kuolewa kabisa
1. umri unaenda tayar ninakikwazo mtoto wanaume wengi kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kubahitisha. ukizingatia na umri mbaya... cjui inawezekana mungu hakunipangia kuolewa.

( nibaada ya kupotezana kwa mda mrefu na rafik yangu leo tumekutana ndo ananipa story jinsi alivyo katamaa ya kuoelewa)

Soma hapa;

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/750935-sina-hamu-tena-na-wanaume.html
 
Natasha kaolewa na miaka 50+ alikuwa na mtoto na wajukuu 2 asikate tamaa mapema na asione huyo mtoto kama kikwazo as long as alikubali kuibeba mimba yake na kuzaa kwa uchungu hiyo ni baraka

Dah... 5/5
 
Nahitaji kuoa mwanamke kama wewe ila tu ikiwa utaingia mzima mzima kwenye ndoa isiwe unaendelea na mahusiano mengine hasa na aliyekuzalisha maana haya mambo ya kijinga yapo. Mtoto nitamlea na kumsomesha sio shida. Ila tu ikiwa utaingia mzima mzima.

NB: niliwahi kuwa na mke tukate gana na sina mtoto.

Haya mtoa mada kamata fursa hii.
 
Naitaji kuoa. Lakini nina watoto 8 kila mtoto ana mama yake na nuna umri wa miaka 36 kazi yangu ni Daktari (MD) kama yuko tayari tuwasiliane. Naishi Kibaha.

Uwiiiiiiii
U a nt serious!
Kwan usioe mmojawapo ya uliozaa nao
 
Pole sana! Si lazima uolewe!
 
Wanadai heshima ktk jamii....
Here lies the problem, kwa nini jamii yetu(hasa ya kiafrika)imewaaminisha wasichana/wanawake kuwa kuolewa ni heshima katika jamii?
Kwa nini?

Hivi ni kweli kuwa heshima inatakiwa kupatikana kutokana na status ya mtu tu(single or married)au inatakiwa kupatikana kutokana na matendo ya mtu na mchango wake katika jamii?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom