Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 247
- 229
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.
Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.
Naombeni ushauri