Nimekata tamaa sijui cha kufanya

Nimekata tamaa sijui cha kufanya

Hahaaaa nimewahi mapema dah ningekuwa mkewe na Mimi nachepuka na kuzaa juu, ngoma droo mbinguni tukatoe mahesabu Tena natafta mwanaume mzuri ili anipatie mtoto mzuri loh.
Utaua Mtu wewe.... Huruma Kidogo basi mama...,, Kisasi siyo Poa
 
Back
Top Bottom