Nimekata tamaa sijui cha kufanya

Nimekata tamaa sijui cha kufanya

Mtaweza tu siunaona mleta mada kajaribu na nyie mna mpa ushauri mubovu sijui awe mubabe ngoja nguvu zianze kumuisha akifika umri wa utu uzima. Mtu kakosa wamdaganya awe mubabe sio?
Ndo nashangaa hapo kosa ni la mwanaume na sio kuchepuka tyuuuh had kuzaa, as if mkewe n tasa lol, acha aoneshwe matunda ya alichokuwa anakipanda.
Tena hapo n trailler, bado movie enyewe, mbona hakuna rangi ataacha kuona uwiiiiih.
Kila mtu ana moyo wa nyama. Huhuhuu
 
Mshukuru sana mkeo kwa uvumulivu wake. Unastahili talaka. Hata misaafu inaruhu talaka katika usaliti wa aian hii. Hivi wife wako huyo angechepuka unkamkamata, ungefanya nini?
Yaan atupe majibu juu ya hili.
 
Ndo nashangaa hapo kosa ni la mwanaume na sio kuchepuka tyuuuh had kuzaa, as if mkewe n tasa lol, acha aoneshwe matunda ya alichokuwa anakipanda.
Tena hapo n trailler, bado movie enyewe, mbona hakuna rangi ataacha kuona uwiiiiih.
Kila mtu ana moyo wa nyama. Huhuhuu
Ukishajichaganya ndio basi Tena kwa kosa Hilo akubali tu yaishe na wanaume waliooa wanapenda kuzaa hovyo hovyo sijui kwanini ukute alimdaganya huyo mwanamke amzalie Hana mke, Sasa mchepuko umefanya juu chini Siri igundulike, so mleta mada Nampa pole atateseka Hadi uzeeni wallah
 
Dea nilitaka kuku tag, yaan umeniwah tyuuuh. Maan mada km hizi nakujua huwa huvungi unamwaga nondo tyuuuh, km mbwai na iwe mbwai.
Hahaaaa nimewahi mapema dah ningekuwa mkewe na Mimi nachepuka na kuzaa juu, ngoma droo mbinguni tukatoe mahesabu Tena natafta mwanaume mzuri ili anipatie mtoto mzuri loh.
 
Ukishajichaganya ndio basi Tena kwa kosa Hilo akubali tu yaishe na wanaume waliooa wanapenda kuzaa hovyo hovyo sijui kwanini ukute alimdaganya huyo mwanamke amzalie Hana mke, Sasa mchepuko umefanya juu chini Siri igundulike, so mleta mada Nampa pole atateseka Hadi uzeeni wallah
Sio hadi uzeen, had siku anafukiwa chini.
 
Mwanakulitafuta mwana kulipata. Game imeisha.. ila bado anatafuta njia ya kuhalalisha madudu yake.
Ni ngumu bana sisi tukimuamini mtu akivunja uaminufu ndio game over tunabaki kwa ajili ya watoto na upendo unakufa automatically, hata ufanyeje Kuna vitu havisahauliki, usaliti mubaya Sana
 
Hahaaaa nimewahi mapema dah ningekuwa mkewe na Mimi nachepuka na kuzaa juu, ngoma droo mbinguni tukatoe mahesabu Tena natafta mwanaume mzuri ili anipatie mtoto mzuri loh.
Kwan unadhan huyo mwanamke hachepuki? Tena awe mpole tyuuuh soon atalea mtoto so wake. Maan huyo mwanamke ameonesha wazi kuwa what's the next.
Tiba ya usaliti ni KISASI na haiepukiki.
 
Kweli kabisa mwache mama ajipooze nje arudi nyumbani waendelee kulea watoto basi
 
Haswaaaah kilichobaki ni kulea watoto na kutekeleza mustakabali huko nje, ila km amani, furaha, na upendo vinatoka nje now.
 
Sure Bora hata wazungu hupeana talaka kabisa kila mtu awe na Mambo yake huko
 
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.

Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.

Naombeni ushauri
Umemkosea sana mkeo, sio rahisi kuirudisha ndoa yako katika hali ys mwanzo, mkeo hana imani na wewe na hana mapenzi na wewe tena, heshima na uvumilivu aliokua nao kwako mwanzo haupo tena, huruma na unyenyekevu vimepotea na kamwe hawezi kuvirudisha

Jaribu kujiweka kwenye viatu vyake, unaweza ukaelewa what she is going through

Huhitaji kuwa na hasira wala kumlaumu, unatakiwa uishi nae kwa upendo, spend muda mwingi sana na mkeo inaweza kusaidia kurudisha hali yake ya kawaida, mfanyie vitu vya kumfurahisha na ujaribu kumuonyesha ni jinsi gani ana thamani kwako...ila sioni how kama umeweza kucheat hadi kuzaa nje, lazima ujibebe

Ulikosa nini kwa mkeo hadi ukaenda kucheat? Tena na kutia mimba kabisa????
 
Yaan huyu mwanaume acha ale matunda ya ufedhuli wake.
 
Back
Top Bottom