cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,159
- 181,303
Lakini hawataki kuusikiaInapofikia mumeo amechepuka hadi kuzaa nje, jibu ni moja tu, HAKUPENDI, ,
Hata mkinifokea jibu ni hilo.
Lakini hawataki kuusikiaInapofikia mumeo amechepuka hadi kuzaa nje, jibu ni moja tu, HAKUPENDI, ,
Hata mkinifokea jibu ni hilo.
Kuna dhambi ukizitenda hata ukizitubu na kusamehewa ni lazima ziendelee kukutafuna tu. Japo Mfalme Daudi alisamehewa ile dhambi ya kuzini na hatimaye kumuoa Bethsheba baada ya kumuua mumewe, familia yake haikuwa na amani kuanzia wakati huo (incest, kuuana, uzinzi...). Na matatizo yaliendelea hata kwa mwanawe Sulemani (baharia mpaka akavunja rekodi ya wake na michepuko).
Inavyoonekana mkeo alikusamehe lakini aliumia sana na bado yumo katika maumivu na hakuamini tena. Na anavyokuona pengine mwendo wako haujabadilika sana na bado unawasiliana na huyo mwanamke wa nje; na au una michepuko mingine. Wanawake ni wavumilivu sana lakini pia nao ni binadamu na wanaumia sana hasa kama alikuwa anakupenda na kukuamini kabisa kabisa.
Japo hapo juu unapewa ushauri wa kuwa mbabe na mabaharia ningekuwa wewe ningeenda naye waifu pole pole hasa kama bado nampenda. Ningemwonyesha kwa vitendo kuwa bado nampenda na kwamba kosa lililofanyika sitalifanya tena; na kweli lilikuwa kosa. Huu ndiyo muda wa kuwa naye karibu sana na kumwonyesha mapenzi ya kweli. Spend a lot of time with her. Mtoe nje huko hata kama ni kwenda kula mihogo. Jenga imani yake polepole ili akuamini tena. Na kila unapopata nafasi mkiwa faragha mkumbushe kuwa bado unampenda na mhakikishie kuwa hutaki mwanamke mwingine na mtakuwa pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha. Kama bado anakupenda utaona ameanza kubadilika. Msongo wa mawazo alionao kutokana na majeraha ya usaliti utaanza kupungua. Hata ngozi yake usoni itaanza kung'ara na ataanza kutabasamu tena. Hata hasira alizonazo zitapungua. Wanasema time is the best healer na muda si muda majeraha yake yatapona na amani itaanza kurudi nyumbani mwako. Lakini mruhusu apone taratibu na usilazimishe mambo. Hata kama ikitokea majeraha aliyonayo hayaponyeki basi mpe uhuru wa kufanya anachotaka hata kama ni talaka. Ila kama kweli alikuwa anakupenda, akiona juhudi zako za kweli kabisa (siyo maigizo), ataanza kukuelewa tu.
Hata wewe yawezekana tukio hilo limekuathiri pia kisaikolojia japo hujui. Unajilaumu. Una hasira. Unajuta sana nafsini. Basi jisamehe (kama kweli umeamua kuacha hiyo tabia). Kama ni mkristo sali sana. Tubu dhambi hiyo kwa dhati kabisa na amini kuwa Mungu Ameshakusamehe halafu uanze upya. No regrets please. Hapo ndipo hata wewe utaanza kuiona nuru na maisha mapya katika mahusiano yenu hayo.
Wakumbuke hao watoto wenu. Ni muhimu sana muwalee pamoja. Say no to divorce mkuu hasa kama bado unampenda waifu wako. Please fight for your family. Blessings![]()
Upendo ushakufa hapo, na wanawake huwa hatusamehi vitu ka hivi ingawa tunabaki kwenye mahusiano Ila hisia ndio hakuna. Mleta mada Nampa pole hii kitu itamtesa Hadi uzeeni wallahUtavuna ulichopanda . Ndio unachoishi sasa hivi. Mkeo alikuwa aakupenda sana. Ww umechepuka hadi umezaa nje? Kosa ni la nani? Ww ndio unaharib ndoa yako.
Mkeo hana amani na ww tena. Na taratibu upendo unakufa. Mwishowe ndoa haitokuwepo.
Na akifata hapo anajidaganya Wala, dah ningekuwa mkewe ningempa depression huyu mwanaume hata ka tumezaa watoto Mia. Dawa ya Moto ni motoNimesoma na kutafakari, acha nikae kimya tyuuuh.
Ila muhimu ni kuwa mkewe anapata faraja nje, Tiba ya usaliti ni KISASI na haiepukiki.
Michepuko mingine hutafta number na kumpigia Hadi picha mke wa ndoaUkikosa ukaomba msamaha inatosha, asitumie kama fimbo kwako, jitahidi awe na amani kwa:
- Kuwa na mahusiano ya afya na huo mchepuko, maana hapo ni ngumu sana kwake kuamini!
Ukiona hawezi move forward usihangaike tena wewe nenda kwa huyo uliyezaa naye au utanyanyasika sana!
Ila inabidi ujieleze:
- Unakulaje bila condom?
- Okay, kavu sawa, mpaka mimba?
- Okay, mimba sawa, mpaka shem ajue?
Hemu toa maelezo yaliyojaa ushauriwe vizuri!
Wanawake uaminufu ukiisha huwa haturudi nyuma twaweza ishi hata na shetani ili mradi siku ziende huku tukiwa na hesqbu zetu. Mleta mada akubaliane na Hali yake tu hamna namnaBado ana maumivu ya ulichomtendea mkuu. Muda ndo utamponya, ila kwa sasa endelea tu kumuomba na kuwa chini yake, hakuna namna coz wewe mwenyewe ndo ulikosea.
Makosa yako yapo hapo kwenye nilipo bold!Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.
Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.
Naombeni ushauri
Binadamu hawezi ishi na shetani, shetani pekee ndiye anaweza ishi na shetani... so mwanamke ni nani? (jibu mwenyewe)Wanawake uaminufu ukiisha huwa haturudi nyuma twaweza ishi hata na shetani ili mradi siku ziende huku tukiwa na hesqbu zetu. Mleta mada akubaliane na Hali yake tu hamna namna
Tunaishi na mtu hatumpendi kabisa as long tunalenga kitu flani, nyie mnaweza?Binadamu hawezi ishi na shetani, shetani pekee ndiye anaweza ishi na shetani... so mwanamke ni nani? (jibu mwenyewe)
Ushauri mubovu huuMakosa yako yapo hapo kwenye nilipo bold!
Kosa la kwanza ni kuomba msamaha.
Kosa la pili ni kujishusha (hili ndio kosa kubwa zaidi)! Mwanaume unaanzaje kujishusha kwa mwanamke?
Kuomba msamaha inaeza isiwe shida sana ila kujishusha na kuomba omba msamaha kila saa ndio mke wako anakuona legelege a.k.a zoba analoweza kulipelekesha atakavyo!
Inatakakiwa akisema anataka kuvunja ndoa sio unaanza kulia lia, ikiwezekana kabla ya kumjibu mpe makofi kadhaa alafu mwambie aende kwao!
Sio mwanamke anasema amekuchoka unaanza kulia lia kuomba msamaha! kwa wanawake wa kitanzania ukiwa hivi jianda kufanywa zoba!
Alafu amekuona uko desperate sana! Kama unataka kurudisha amani fanya haya...
1. Acha kujishusha.
2. Akileta kiburi tembeza makofi!
3. Usiwe dhaifu mbele ya mke wako!
Hiyo ndoa ikifa ni uzembe wako mwenyewe!
BE A MAN!
unapaswa kutunukiwa u phd wa masuala haya!!Ulikosea ile siku ulokubali nakukiri kua Mimba ni yako...
Weee ungekana nakukataa katakataaa tena unasema " yeye kama anataka msaada wa maisha aseme lkn sio kutaka kujaribu kuvunja ndoa yangu , na lazima nimchukulie hatua"..
Wanawake wanaishi kwa hisia,..hapo angekuamin then wee kinyume ukaendelea kumtunza mama kijacho wako.Ukatae...ukubali...Mkeo anagongwa nje ...
Cha kufanya... SHERIA NI SHERIA INGAWA NI NGUMU.
*Ukosee usikosee, Usije ruhusu mwanamke akupande kichwan kiasi cha kufanya Nyumba ikoswe amani* hivyo bas ukajikuta wee ni bwegee kwelikweli na utaomba msamahaaa mnoooo hata kwa madogo.
1--Mwambie , Wife miaka kadhaa nyuma nilikosea na nikakuomba msamaha ukanisamehee.
2--Maajab toka hapo maisha yetu ndani yamekua hovyo sana ikionyesha kua hukuwahi nisamehe kwa dhamira safi hatimaye nmekua mtu nsokua na raha miaka mingi, hata akili, mwili kwangu vimedhorota.
3--Naona Hatuna hatima yoyote ya maisha mbelee, kwasababu tumeshindwa kuliweka jambo hili sawa.
4---Hivo mimi mwenyewe nimeamua tu TUACHANE ILI NIOE MWANAMKE MWENGINE ,basi watoto tutaendelea kuwalea.( niamin, akipiga hesabu Umri wake, na keshazaa watoto wawili, utamwona atakavyokua) ..... Hapa akikubali poaaa, unamuacha .
Akikataa ,NAWEWE UNAWEKA MASHARITI YAKO ,MNAENDA SAWASAWA VZURI TU.
Hawa watu ni akili ndo inahitajika kuwaishi.
Sema nn, siku hizi wanaume wapumbavu ndio wabomoao nyumba zao wenyewe .
Tutawezaje wakati sisi sio mashetani na hatuwezi kuishi na shetani?Tunaishi na mtu hatumpendi kabisa as long tunalenga kitu flani, nyie mnaweza?
Mtaweza tu siunaona mleta mada kajaribu na nyie mna mpa ushauri mubovu sijui awe mubabe ngoja nguvu zianze kumuisha akifika umri wa utu uzima. Mtu kakosa wamdaganya awe mubabe sio?Tutawezaje wakati sisi sio mashetani na hatuwezi kuishi na shetani?
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.
Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.
Naombeni ushauri
Ukiona upendo umerudi jua ana jamaa ambaye anamkaza.Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.
Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.
Naombeni ushauri
Mwanakulitafuta mwana kulipata. Game imeisha.. ila bado anatafuta njia ya kuhalalisha madudu yake.Upendo ushakufa hapo, na wanawake huwa hatusamehi vitu ka hivi ingawa tunabaki kwenye mahusiano Ila hisia ndio hakuna. Mleta mada Nampa pole hii kitu itamtesa Hadi uzeeni wallah
Na akifata hapo anajidaganya Wala, dah ningekuwa mkewe ningempa depression huyu mwanaume hata ka tumezaa watoto Mia. Dawa ya Moto ni moto



Dea nilitaka kuku tag, yaan umeniwah tyuuuh. Maan mada km hizi nakujua huwa huvungi unamwaga nondo tyuuuh, km mbwai na iwe mbwai.