Nimekata tamaa sijui cha kufanya

Nimekata tamaa sijui cha kufanya

Ipo hivi mimi na wife tuna miaka Saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba Sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana Tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.

Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.

Naombeni ushauri
Ongea na Mungu,mweleze shida yako,it is very simple,kila kitu kitakuwa sawa,labda tu kama unaendelea na hayo mambo ya kuchepuka kwa siri,kwa jinsi hiyo hapo usitegemee muujiza...
 
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka Saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba Sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana Tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.

Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.

Naombeni ushauri

MWAKA HUU MWEZI WA KUMI USIFANYE MAKOSA,
CHAGUA CHAUMMA ILI UPATE MLO WENYE LISHE BORA KWA AFYA YA MWILI NA AKILI!!!
 
Kuna dhambi ukizitenda hata ukizitubu na kusamehewa ni lazima ziendelee kukutafuna tu. Japo Mfalme Daudi alisamehewa ile dhambi ya kuzini na hatimaye kumuoa Bethsheba baada ya kumuua mumewe, familia yake haikuwa na amani kuanzia wakati huo (incest, kuuana, uzinzi...). Na matatizo yaliendelea hata kwa mwanawe Sulemani (baharia mpaka akavunja rekodi ya wake na michepuko).

Inavyoonekana mkeo alikusamehe lakini aliumia sana na bado yumo katika maumivu na hakuamini tena. Na anavyokuona pengine mwendo wako haujabadilika sana na bado unawasiliana na huyo mwanamke wa nje; na au una michepuko mingine. Wanawake ni wavumilivu sana lakini pia nao ni binadamu na wanaumia sana hasa kama alikuwa anakupenda na kukuamini kabisa kabisa.

Japo hapo juu unapewa ushauri wa kuwa mbabe na mabaharia ningekuwa wewe ningeenda naye waifu pole pole hasa kama bado nampenda. Ningemwonyesha kwa vitendo kuwa bado nampenda na kwamba kosa lililofanyika sitalifanya tena; na kweli lilikuwa kosa. Huu ndiyo muda wa kuwa naye karibu sana na kumwonyesha mapenzi ya kweli. Spend a lot of time with her. Mtoe nje huko hata kama ni kwenda kula mihogo. Jenga imani yake polepole ili akuamini tena. Na kila unapopata nafasi mkiwa faragha mkumbushe kuwa bado unampenda na mhakikishie kuwa hutaki mwanamke mwingine na mtakuwa pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha. Kama bado anakupenda utaona ameanza kubadilika. Msongo wa mawazo alionao kutokana na majeraha ya usaliti utaanza kupungua. Hata ngozi yake usoni itaanza kung'ara na ataanza kutabasamu tena. Hata hasira alizonazo zitapungua. Wanasema time is the best healer na muda si muda majeraha yake yatapona na amani itaanza kurudi nyumbani mwako. Lakini mruhusu apone taratibu na usilazimishe mambo. Hata kama ikitokea majeraha aliyonayo hayaponyeki basi mpe uhuru wa kufanya anachotaka hata kama ni talaka. Ila kama kweli alikuwa anakupenda, akiona juhudi zako za kweli kabisa (siyo maigizo), ataanza kukuelewa tu.

Hata wewe yawezekana tukio hilo limekuathiri pia kisaikolojia japo hujui. Unajilaumu. Una hasira. Unajuta sana nafsini. Basi jisamehe (kama kweli umeamua kuacha hiyo tabia). Kama ni mkristo sali sana. Tubu dhambi hiyo kwa dhati kabisa na amini kuwa Mungu Ameshakusamehe halafu uanze upya. No regrets please. Hapo ndipo hata wewe utaanza kuiona nuru na maisha mapya katika mahusiano yenu hayo.

Wakumbuke hao watoto wenu. Ni muhimu sana muwalee pamoja. Say no to divorce mkuu hasa kama bado unampenda waifu wako. Please fight for your family. Blessings
Asante.... Akifanya haya yote kwa dhati na kwa upendo huku akimshirikisha Mungu wake hakika atafurahia ndoa yake.
 
Alijuaje umezaa nje? Hivi ni nani anawaambia kwamba unaweza kukubali kosa la usaliti kwa mwenza wako na maisha yakawa sawa kama before?
1. Asikudanganye mtu hata siku moja usije kukiri kuwa umechepuka. Tafuta sababu hata kama ni za kijinga wewe komaa nazo tu.
2. Unapo zaa nje huna haja ya kumwambia mkeo. Piga kimya, lea mtoto maisha yaendelee.

Hapo umesha likoroga and things will never be the same again
 
Ushauri kutoka kwangu mzoefu wa mambo kama hayo. Maji yameshamwagika hayazoleki na huwezi kurudisha mambo kama mwanzo kwa jinsi unavyotaka wewe. Wala usilazimishe mambo yawe kama mwanzo we tulia tu muda utatoa majibu. Time heal almost everything in this World. Give time mambo yatarudi tu
 
Kuna dhambi ukizitenda hata ukizitubu na kusamehewa ni lazima ziendelee kukutafuna tu. Japo Mfalme Daudi alisamehewa ile dhambi ya kuzini na hatimaye kumuoa Bethsheba baada ya kumuua mumewe, familia yake haikuwa na amani kuanzia wakati huo (incest, kuuana, uzinzi...). Na matatizo yaliendelea hata kwa mwanawe Sulemani (baharia mpaka akavunja rekodi ya wake na michepuko).

Inavyoonekana mkeo alikusamehe lakini aliumia sana na bado yumo katika maumivu na hakuamini tena. Na anavyokuona pengine mwendo wako haujabadilika sana na bado unawasiliana na huyo mwanamke wa nje; na au una michepuko mingine. Wanawake ni wavumilivu sana lakini pia nao ni binadamu na wanaumia sana hasa kama alikuwa anakupenda na kukuamini kabisa kabisa.

Japo hapo juu unapewa ushauri wa kuwa mbabe na mabaharia ningekuwa wewe ningeenda naye waifu pole pole hasa kama bado nampenda. Ningemwonyesha kwa vitendo kuwa bado nampenda na kwamba kosa lililofanyika sitalifanya tena; na kweli lilikuwa kosa. Huu ndiyo muda wa kuwa naye karibu sana na kumwonyesha mapenzi ya kweli. Spend a lot of time with her. Mtoe nje huko hata kama ni kwenda kula mihogo. Jenga imani yake polepole ili akuamini tena. Na kila unapopata nafasi mkiwa faragha mkumbushe kuwa bado unampenda na mhakikishie kuwa hutaki mwanamke mwingine na mtakuwa pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha. Kama bado anakupenda utaona ameanza kubadilika. Msongo wa mawazo alionao kutokana na majeraha ya usaliti utaanza kupungua. Hata ngozi yake usoni itaanza kung'ara na ataanza kutabasamu tena. Hata hasira alizonazo zitapungua. Wanasema time is the best healer na muda si muda majeraha yake yatapona na amani itaanza kurudi nyumbani mwako. Lakini mruhusu apone taratibu na usilazimishe mambo. Hata kama ikitokea majeraha aliyonayo hayaponyeki basi mpe uhuru wa kufanya anachotaka hata kama ni talaka. Ila kama kweli alikuwa anakupenda, akiona juhudi zako za kweli kabisa (siyo maigizo), ataanza kukuelewa tu.

Hata wewe yawezekana tukio hilo limekuathiri pia kisaikolojia japo hujui. Unajilaumu. Una hasira. Unajuta sana nafsini. Basi jisamehe (kama kweli umeamua kuacha hiyo tabia). Kama ni mkristo sali sana. Tubu dhambi hiyo kwa dhati kabisa na amini kuwa Mungu Ameshakusamehe halafu uanze upya. No regrets please. Hapo ndipo hata wewe utaanza kuiona nuru na maisha mapya katika mahusiano yenu hayo.

Wakumbuke hao watoto wenu. Ni muhimu sana muwalee pamoja. Say no to divorce mkuu hasa kama bado unampenda waifu wako. Please fight for your family. Blessings
Sasa mwanamke unaanzaje kumkubalia kuwa umegonga friendly matches? We kataa mwanzo mwisho yani 😂😂😂!!! Ikibidi lia kabisa kwamba anakuhisi ndivyo sivyo na unaumia kwa hilo.

Mi alishaiba namba na kupiga simu kwa mchepuko wakachambana ila mie niliishia kumkataa mchepuko mwanzo mwai...ila kiukweli nilishamtia sana mikasi!

Siku ingine tuligumiana nae mgahawani mjini nikiwa na malaya mwengine yeye akiwa na rafiki yake wametoka library. Nilimkataa yule malaya kama simjui baadae nikaunda story freshi wala haikuwa ishu. 😁😁😁
 
Ulikosea ile siku ulokubali nakukiri kua Mimba ni yako...

Weee ungekana nakukataa katakataaa tena unasema " yeye kama anataka msaada wa maisha aseme lkn sio kutaka kujaribu kuvunja ndoa yangu , na lazima nimchukulie hatua"..

Wanawake wanaishi kwa hisia,..hapo angekuamin then wee kinyume ukaendelea kumtunza mama kijacho wako.Ukatae...ukubali...Mkeo anagongwa nje ...

Cha kufanya... SHERIA NI SHERIA INGAWA NI NGUMU.

*Ukosee usikosee, Usije ruhusu mwanamke akupande kichwan kiasi cha kufanya Nyumba ikoswe amani* hivyo bas ukajikuta wee ni bwegee kwelikweli na utaomba msamahaaa mnoooo hata kwa madogo.

1--Mwambie , Wife miaka kadhaa nyuma nilikosea na nikakuomba msamaha ukanisamehee.

2--Maajab toka hapo maisha yetu ndani yamekua hovyo sana ikionyesha kua hukuwahi nisamehe kwa dhamira safi hatimaye nmekua mtu nsokua na raha miaka mingi, hata akili, mwili kwangu vimedhorota.

3--Naona Hatuna hatima yoyote ya maisha mbelee, kwasababu tumeshindwa kuliweka jambo hili sawa.

4---Hivo mimi mwenyewe nimeamua tu TUACHANE ILI NIOE MWANAMKE MWENGINE ,basi watoto tutaendelea kuwalea.( niamin, akipiga hesabu Umri wake, na keshazaa watoto wawili, utamwona atakavyokua) ..... Hapa akikubali poaaa, unamuacha .

Akikataa ,NAWEWE UNAWEKA MASHARITI YAKO ,MNAENDA SAWASAWA VZURI TU.

Hawa watu ni akili ndo inahitajika kuwaishi.

Sema nn, siku hizi wanaume wapumbavu ndio wabomoao nyumba zao wenyewe .

Umeelezea ukweli sehemu nyingi, jamaa sasa hivi atakuwa anachapiwa sana, japo kuwa yote kayataka mwenyewe

Wanawake hawasahau yaani hiyo kesi atakuwa anasomewa hukumu karibia kila siku
 
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka Saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba Sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana Tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.

Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.

Naombeni ushauri
Mpaka hapo inaonyesha unalelewa na mkeo. Yaani huna say kabisa.
Weka msimamo uone kama hajaanza kukuogopa yeye
 
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka Saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba Sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana Tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.

Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.

Naombeni ushauri
Makosa kama hayo hata mtu akikusamaehe anakuwa moyoni hajasahau na akikaa roho inamuuma. Kuna wanaoweza vumilia wakaishi nalo na wengine wanafake ila at some point wanashindwa.
Things will never be the same again......................................
Pole sana mwana kulitafuta mwana kulipata mwana kujuta..........................
 
Ipo hivi mimi na wife tuna miaka saba sasa, tumefanikiwa kupata watoto wawili lakini mwaka uliopita nilimkosea mke wangu nilichepuka na kupata mtoto wa nje. Nilimuomba sana msamaha akakubali na kunipa masharti ya kutorudiana tena na yule mwanamke, nilikubali na ninafuata masharti.

Lakini tangia hapo amani imetoweka kabisa, tumekua watu wa migogoro mara kwa mara na mara zote inabidi nirudi chini na kuomba msamaha. Nakosa kabisa ujasiri na kujiamini na kila siku ananitishia talaka, nafanya juhudi nyingi kuokoa ndoa yangu lakini naona kabisa dalili za kuachwa.

Naombeni ushauri

Ukikosa ukaomba msamaha inatosha, asitumie kama fimbo kwako, jitahidi awe na amani kwa:

- Kuwa na mahusiano ya afya na huo mchepuko, maana hapo ni ngumu sana kwake kuamini!

Ukiona hawezi move forward usihangaike tena wewe nenda kwa huyo uliyezaa naye au utanyanyasika sana!

Ila inabidi ujieleze:

- Unakulaje bila condom?
- Okay, kavu sawa, mpaka mimba?
- Okay, mimba sawa, mpaka shem ajue?

Hemu toa maelezo yaliyojaa ushauriwe vizuri!
 
Msalaa sanaa...!! Kiufupi jamaa kama movie ndo inaanza yani atatesekaa sanaa... Mwanamke huwa hasameii mzee ni wepesi kutamka mdomoni lakini moyonii amejipanga kukulipizia na pia tabia zake zitabadilika sana na ubaya huwa hawarudi nyumaa yani hii ndoa inakufaaa jamaa ajiandae tu kama kugawana mali au vip..!
 
Kwa lugha nyingine, jamaa anamaisha ya tabu miaka mingi zaidi ijayo..

Kisha ataanza jiongelea mwenyewe barabarani, atapata msongo, atagongwa ( atajiua ) tutazika

Dunia haina usawa

Maamuzi yake ndio matokeo ya kesho..JAMBO BAYA KWAKE, NI KUKUBALI UKOSAJI WAKE,KUA SABABU YA KUHARIBIKA MAISHA YAKE.

embi fikiria, anamiaka mingapi mbele ya Kuendelea kuishi kwa tabu??
Namuonea huruma San huyu muhusika, Jah awe nae tyuuuh.
Ila ni vizuri anakula matunda ya usaliti wake na kukiri uovu wake mwenyewe.
 
Kuna dhambi ukizitenda hata ukizitubu na kusamehewa ni lazima ziendelee kukutafuna tu. Japo Mfalme Daudi alisamehewa ile dhambi ya kuzini na hatimaye kumuoa Bethsheba baada ya kumuua mumewe, familia yake haikuwa na amani kuanzia wakati huo (incest, kuuana, uzinzi...). Na matatizo yaliendelea hata kwa mwanawe Sulemani (baharia mpaka akavunja rekodi ya wake na michepuko).

Inavyoonekana mkeo alikusamehe lakini aliumia sana na bado yumo katika maumivu na hakuamini tena. Na anavyokuona pengine mwendo wako haujabadilika sana na bado unawasiliana na huyo mwanamke wa nje; na au una michepuko mingine. Wanawake ni wavumilivu sana lakini pia nao ni binadamu na wanaumia sana hasa kama alikuwa anakupenda na kukuamini kabisa kabisa.

Japo hapo juu unapewa ushauri wa kuwa mbabe na mabaharia ningekuwa wewe ningeenda naye waifu pole pole hasa kama bado nampenda. Ningemwonyesha kwa vitendo kuwa bado nampenda na kwamba kosa lililofanyika sitalifanya tena; na kweli lilikuwa kosa. Huu ndiyo muda wa kuwa naye karibu sana na kumwonyesha mapenzi ya kweli. Spend a lot of time with her. Mtoe nje huko hata kama ni kwenda kula mihogo. Jenga imani yake polepole ili akuamini tena. Na kila unapopata nafasi mkiwa faragha mkumbushe kuwa bado unampenda na mhakikishie kuwa hutaki mwanamke mwingine na mtakuwa pamoja mpaka kifo kitakapowatenganisha. Kama bado anakupenda utaona ameanza kubadilika. Msongo wa mawazo alionao kutokana na majeraha ya usaliti utaanza kupungua. Hata ngozi yake usoni itaanza kung'ara na ataanza kutabasamu tena. Hata hasira alizonazo zitapungua. Wanasema time is the best healer na muda si muda majeraha yake yatapona na amani itaanza kurudi nyumbani mwako. Lakini mruhusu apone taratibu na usilazimishe mambo. Hata kama ikitokea majeraha aliyonayo hayaponyeki basi mpe uhuru wa kufanya anachotaka hata kama ni talaka. Ila kama kweli alikuwa anakupenda, akiona juhudi zako za kweli kabisa (siyo maigizo), ataanza kukuelewa tu.

Hata wewe yawezekana tukio hilo limekuathiri pia kisaikolojia japo hujui. Unajilaumu. Una hasira. Unajuta sana nafsini. Basi jisamehe (kama kweli umeamua kuacha hiyo tabia). Kama ni mkristo sali sana. Tubu dhambi hiyo kwa dhati kabisa na amini kuwa Mungu Ameshakusamehe halafu uanze upya. No regrets please. Hapo ndipo hata wewe utaanza kuiona nuru na maisha mapya katika mahusiano yenu hayo.

Wakumbuke hao watoto wenu. Ni muhimu sana muwalee pamoja. Say no to divorce mkuu hasa kama bado unampenda waifu wako. Please fight for your family. Blessings
Maneno ya busara San, na muhusika ashike hili.
 
Back
Top Bottom