Empty containers Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 1,995
- 3,774
mtu binafs,,, sina mtoto wala familia
Mimi naona hauna tatizo na kama ungetaka kujiua sifikirii kama ungeshindwa
Kwahiyo kama ni MTU binafsi anakudai mil 3 hiyo ni hela ndogo sana .
Kama una CV share hapa watu wakupe kazi au fursa ambayo itakusaidia kulipa madeni .
Kwahiyo ukisema watu wakupe dawa au sumu inayoua ua haraka sifikirii kama ungeamua kutafuta huko ulipo ungekosa
Kama umekuja hapa jukwaani maana yake unabidi ulenge kupata relief na njia za kutoka ktk hiyo depression yako.