Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

Unakanyaga chungu alafu unakosa amani?mimi niliwahi kuamka sina nywele kichwani na zile za maeneo ya chuo kikuu
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.

Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.

Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe kisha akaja kupasulia shida zake hapa.

Uchague wewe sasa uje kwangu au kwa mshana hapo unatakiwa usafishwe kwa mshana anachaji laki na nusu, Mimi kama mtaalamu ni jogoo mmoja wa rangi ya udongo na mbuzi jike sasa uchague mwenyewe maana mimi sina gharama, Lazima utuone wataalamu usiite waganga sisi ni wataalamu ili uondokane na hiyo mikosi
 
Wala usiwaze,nakumbuka tikiwa wadogo, tulikuta nazi zimeandikwa mandishi ya kiarabu njia panda takazitafuna vizuri.
Nikiwa mdogo pia nilishuhudia nazi inaongea, jamaa aliipiga teke, mara ghafla ikasema nirudishe uliponitoa😅😅

Tanga ilikuwa inatisha
 
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.

Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.

Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe kisha akaja kupasulia shida zake hapa.

Uoga wako ndio utakudhuru. Unakanyaga vingapi njiani?
 
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.

Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.

Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.

Duh, pole kwa kuchukua laana ya mtu mwingine. Tunaomba mrejesho ukishaamka salama kesho asubuhi.
 
Duh, pole kwa kuchukua laana ya mtu mwingine. Tunaomba mrejesho ukishaamka salama kesho asubuhi.
Nimeamka kwa ndoto kali sana mkuu. Naendesha gari kali sana iko full tenki.

natoka kijijini kwetu narudi mjini.

Hii ndoto imenipa mawazo sana maana sina gari wala pikipiki.

Halafu hii tabia ya kuendesha speed 120 sinaga😅😅😅
 
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.

Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.

Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.

Luka 10:19​

Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.​

Luka 10:19​

Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.​

We mama.
Haya ni maneno tu, usivyoweza hata kuua mende, utaweza kuua hata nyoka wa Kijani?
 
Hewaa! Pili kumbuka hata swali la hesabu kuna njia zaidi ya moja kulikokotoa
mkuu bas tumekutana wote wa huko.

Niliishi Magoma secondary hapo, nikasoma Kwata shule ya msingi hapo makangara.

Miaka 20 iliyopita, enzi hizo uchawi upo kileleni, unapigwa zongo mapema tu hata hujanawa uso😂😂
 
Dawa ya zongo ni ndulele
 
Dawa ya zongo ni ndulele
nashangaa wabongo wa JF wanasema hakuna uchawi.

mi nimekutana live na vibwengo

Maziwa fresh yametoka kukamuliwa yaligandishwa ndani ya dakika 10 yakiwa kwenye gallon

Tanga enzi hizo ilikuwa ni mwiko kula huku unatembea barabarani, mtaani. Otherwise uwe na screen protector mwilini😅😅
 
Back
Top Bottom