Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

[TABLE="width: 613"]
[TR]
[TD="class: xl65, width: 139, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="class: xl66, width: 622, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
2 Timotheo 2:22 Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.
Mamndenyi umeniwahi, nilitaka kutoa kipande hikihiki cha maandiko.
Ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Onja nyama ya kondoo wa bwana.Kama hujawamaliza wote
 
Acha kudhalilisha kanisa kwa kutafuta sifa za kijinga hapa JF, Kumbuka hujui kesho utakuwa wapi!!!

Kudhalilisha Kanisa gani na kivipi?Na nani kakwambia nataka sifa? Au wewe ni mwanakwaya wa kivulana? Haya mabao yapo acha yajadiliwe vinginevyo kaa pembeni kama unaudhika.........haya kafanye homework zako haraka utupishe wakubwa zako hapa!
 
hahaahahhuwa nachekaga sana nnikifikaga kanisana naangaliaga watu ,wanakwaya nacheka sana sana
 
Safari heri ya mwaka mpya!!!!!!!!!!!!!!!. nataka nikupongeze kwani mwaka huu unaanza vizuri.kukabidhiwa kwaya ni jambo jema kwani umeonekana kuwa unaweza!!!!! IDADI YA WASICHANA ISIKUTISHE SANA NI KAWAIDA TU!!!!

Ni baada ya kuombwa namba ya simu mara kadhaa ndio nikaona niilete hapa
 
jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana 16......:crazy::crazy::crazy:

nimejikuta nikombwa namba yangu ya simu na wana kwaya 10!.......

Mitihani hii.........
:evil::evil::evil:

natamani kama ningekabidhiwa mimi,...kwani hauhitaji msaada wa kulea hiyo kwaya.
 
Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana 16......:crazy::crazy::crazy:

Nimejikuta nikombwa namba yangu ya simu na wana kwaya 10!.......

Mitihani hii.........
:evil::evil::evil:


Kaka kama umeamua kutoa sadaka Kanisani kwa lengo la kumshukuru Mungu wako kwa sababu zozote zile, wewe endelea tu na si lazima pesa/sadaka kwa wanakwaya maana wanakwaya si Mungu wako hata kidogo! Kwa kukubali kupigwa mizinga na mwanakwaya mmoja mmoja na hasa wa kike unajijengea mazingira ya kutegwa na baadaye kuangukia dhambini.

Kama umekabidhiwa kwaya kama mfadhili na umekubaliana na hilo nakushauri utoe msaada kwa kwaya nzima kupitia ngazi husika ili ulinde heshima ya familia yako na Kanisa lako! Kama haujaridhika waambie viongozi wako wa Kanisa kuwa hauko tayari kuwa kiongozi/mfadhili wa kwaya kwa sasa.
 
Mbuzi hula kwa kutegemea urefu wa Kamba yake.......

Ila angalia usiwe Sauli, ukamuudhi Mungu kwa matendo yako......

 
Last edited by a moderator:
Kaka kama umeamua kutoa sadaka Kanisani kwa lengo la kumshukuru Mungu wako kwa sababu zozote zile, wewe endelea tu na si lazima pesa/sadaka kwa wanakwaya maana wanakwaya si Mungu wako hata kidogo! Kwa kukubali kupigwa mizinga na mwanakwaya mmoja mmoja na hasa wa kike unajijengea mazingira ya kutegwa na baadaye kuangukia dhambini.

Kama umekabidhiwa kwaya kama mfadhili na umekubaliana na hilo nakushauri utoe msaada kwa kwaya nzima kupitia ngazi husika ili ulinde heshima ya familia yako na Kanisa lako! Kama haujaridhika waambie viongozi wako wa Kanisa kuwa hauko tayari kuwa kiongozi/mfadhili wa kwaya kwa sasa.

Asante sana kwa kunipa moyo kaka.........leo naenda kununua kinanda cha YAMAHA manake vijana wanaimba kavukavu (bila vyombo vya ala)
 
Mtihani gani! Kwani wewe uko sawa na huo umri 16-25, kama uko zaidi nahic we ni mtu mzima na hao ni sawa na wadogo zako!!MWILI USTAWALE AKILI!!
 
Umekabidhiwa uchunge kondoo wa mungu kwa mapenzi mema kabisa, basi fanya lile ulilotumwa na kwaya usiweke "mambo yako".
 
Nia yangu ilikuwa njema tu.....vile sijafika kanisani nikapiga hesabu kila jumapili niliyokosa Tshs 10,000......sintokwambia ni jumapili ngapi nilikosa ibada.........na pia hili nililiweka bayana mbele ya kanisa

Siamini kama wewe ni mkristu. Hakuna kanisa wanafanya kitu kama hicho. Eti mtu anatangaza sadaka yake! Sijapata kuona. Labda kama mlikuwa kwenye mnada siku ya sherehe ya mavuno!
 
kama iman ndio iliyokupeleka kanisan basi ulipaswa kumwambia mungu hiyo ishu yako na sio ku2ambia wajf.acha kujishaua.....au na wewe ndio walewale kasoro mkia.why unakuwa na hisia za lusifa..kama umeamua kumtumikia mungu m2mikie kwa moyo na sio kuuza sura kwa sadaka na zaka.
 
Sasa we kiongozi umekabidhiwa kwaya unakuja kusema jf, unombwa namba ya simu kwaajili ya urahisi wa mawasiliano, unawaza majaribu.....kumbuka Mungu hamjaribu mtu ila mtu hujaribiwa kwa tamaa yake mwenyewe...na zaidi..zaidi tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti...ndiyo mauti.
 
Back
Top Bottom