Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

Si namba tu mkuu, nawe ndo kiongozi wao kwanini wasiwe na namba yako?
 
Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana 16......:crazy::crazy::crazy:

Nimejikuta nikombwa namba yangu ya simu na wana kwaya 10!.......

Mitihani hii.........
:evil::evil::evil:

Bila shaka kati ya hao 10 walioomba namba, 4 ni wanaume...
 
Sikonge, ahsante sana kwa hizi nyimbo. Ubarikiwe.

Mbuzi hula kwa kutegemea urefu wa Kamba yake.......

Ila angalia usiwe Sauli, ukamuudhi Mungu kwa matendo yako......

 
Last edited by a moderator:
Mtumikie Mungu other wise u cant measure them at all. Ok
 
kwaya za vijana kila leo zina matatizo, huwa kunanuka zinaa tupu hata wao wenyewe kwa wenyewe wanakulana ile mbaya sembuse mwalimu tena.
 
Sijajua nichangie nini maana sina uhakika kama haya yakutoka moyoni na kama sadaka uliitoa kwa nia njema.
 
Back
Top Bottom