Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

Nimekabidhiwa Kwaya ya Kanisa

hilo ndo balaa linakutafuta mwaka huu,
bila shaka itakuwa ni kwaya ya vijana,
na ukianza kumwaga sera huwa wanasema kwa kamati ya malezi kama siyo kwa wazee wa baraza au moja kwa moja kwa mchungaji/mzazi.

Huyo hana haja ya kumwaga sera watakuwa wanaenda kumfulia nguo... Kumpikia.. Then kumtandikia kitanda.. Na mengineyo...
 
We acha ujinga ujinga. Wabongo wanawaza kupiga gemu tu muda wote.We unadhani ukikabidhiwa kwaya ya kanisa ndo umeambiwa uwananii woooote???????
Mbona unaonekana ni mtu mzima kumbe fikra bado za kividuduvidudu!!!!!
Mungu aturehemu kwa kweli.
 
Nia yangu ilikuwa njema tu.....vile sijafika kanisani nikapiga hesabu kila jumapili niliyokosa Tshs 10,000......sintokwambia ni jumapili ngapi nilikosa ibada.........na pia hili nililiweka bayana mbele ya kanisa

'nanyi mtoapo sadaka mkono wako wa kushoto usijue lifanyalo mkono wako wa kuume'
 
Siamini kama wewe ni mkristu. Hakuna kanisa wanafanya kitu kama hicho. Eti mtu anatangaza sadaka yake! Sijapata kuona. Labda kama mlikuwa kwenye mnada siku ya sherehe ya mavuno!

Mbona siku hizi kawaida mkuu? Watu wanafanya hivyo kitaambooo.
 
Siyo 'feedbak' bali 'feedback'. Pia siyo 'goes' ni 'go'

Mkuu ahsante kunikosoa. Ukiwa Engineer lazima utajulikana tu kwa spelling za maandishi yako. Thanks by the way.
 
Kidogo wafanane na hawa "wazee"

DSC_0011resized.jpg
Hahaha utani wenye karibia na kweli au kwa vile wamevaa vitenge?
 
chagua hivi leo Mungu utakayemtumikia, kama una mtumikia Mungu utailea kwaya kiroho na kwa njia zinazokubalika mbele za Mungu ila kama unachagua kumtumikia shetani basi usihangaike hata huko kwenda kanisani maana huko ni kumdhihaki Mungu...na hakika MUNGU HADHIHAKIWI...hataacha kukuadhibu tena ukiwa humu humu duniani na baadae kumalizia mwendo wako jehanamu ikiwa utamkufuru roho mtakatifu
 
hata mm nilianza polepole komaa kesho na kesho utakuwa paroko
 
Jana nilifika kanisani baada ya kipindi kirefu sana kutokufika. Nikatowa sadaka ya haja. Mwisho wa ibada nikapewa ombi la kukabidhiwa na kuisimamia Kwaya ya kanisa. Ina wavulana 4 na wasichana 16......:crazy::crazy::crazy:

Nimejikuta nikombwa namba yangu ya simu na wana kwaya 10!.......

Mitihani hii.........
:evil::evil::evil:

Kwa hiyo sisi tufanyeje?
 
Back
Top Bottom