Nimejivua Gamba Rasmi

Mbona tulishazichoma nyingi tu!

265145_155888057817064_100001876128018_355447_306317_n.jpg

Huyo aloshika speaker anahubiri au?
 
Mkuu kadi ya CDM utaichukulia wapi? Nasikia Ole Millya na Mawazo wanaandaliwa karamu kubwa na watakabidhiwa kadi kijijini kwao (Millya). Nawe wapi mkuu?


Millya kuchukulia kadi Simanjiro ni mkakati dhidi ya Sendeka. In fact huyu naye akae mkao wa kun**a! Hiyo kanda tumesema hatutaki uchafu wa magamba!
 
Umepotea CDM hakuna demokrasia, kuna NDIYO MZEE MBOWE

unahitaji ukombozi wa kifikra,dunia ya leo hata wale waliokuaga wajinga wanakimbilia kuelimika kukabiliana na changamoto za kidunia,wewe bado unang'ang'ania kukumbatia uji***
 
Naomba kuuliza...
Wewe origin yako ni Moshi or Arusha?

huyu jamaa wa amezaliwa kawe, amesomea ubungo primary. secondary Iringa. Sasa yuko Mbeya. amepata Kazi Arumeru Juzi. Ila wazazi wake kwasasa wapo Kigoma kwa zitto. hajawahi kufika moshi wala Arusha.
 
huyu jamaa wa amezaliwa kawe, amesomea ubungo primary. secondary Iringa. Sasa yuko Mbeya. amepata Kazi Arumeru Juzi. Ila wazazi wake kwasasa wapo Kigoma kwa zitto. hajawahi kufika moshi wala Arusha.
Kazi mnayo...kumbe yayo ndiyo majimbo pekee mliyonayo hapa Tazania????
 
Hawa jamaa wanajiona wamejaa HEKIMA,BUSARA na HASIRA kumbe hakuna lolote ni danganya toto.Mchezo wa kushupalia hoja za ukweli kumbe ni unafiki mtupu.
ANGALIA ISSUE ya UFISADI wa epa wamehangaika lakini mwisho OLE SENDEKA;KILANGO wamerudi kundini kwao
KAMA KWELI WAMECHOKA NA SERIKALI YAO YA CCM WAPELEKE HOJA YA KUTOKUWA NA IMANI NA SERIKALI YA CHAMA CHAO AU WOTE WAJIVUE UNACHAMA WA CCM.WAKIWEZA HAYO HATUTAWAITA WANAFIKI
 
nimetafakari sana juu ya hiki Chama nimeona mimi kama kijana ndio natakiwa niwe kiini cha mabadikiko katika nchi yangu. Nimeamua nijivue gamba rasmi. Na sasa naingia rasmi CDM.
Dunia yangu chaguo langu.

mimi namshukuru Mungu ahata nafikia makamo haya sijawahi kushika hiyo takataka inayoungua moto
 
CDM bhana kumbe ndo maana Nape alisema mnajitekenya na kucheka wenyewe!! Lakini chama kikikosa wanachama si vibaya kujifariji kwa namna hii!! ungeonekana mzalendo sana kwa kueweka ID yako halisi ili uvutie wengi, si ajabu ukawa ndo ule padri mzinzi!![/QUOT

Aaaaaaa hujambo Mh. Lusinde?
 
Hiyo Kadi umemuibia mzazi wako mmoja baada ya kuona asikii wala haambiwi kuhusu gamba!
 
Huyo aloshika speaker anahubiri au?

.

Acha ujinga wewe! ... kwanza haiitwi speaker! ... hiyo inaitwa microphone au kwa kiswahili fasaha inaitwa mikrofoni.



Speaker ni hizi hapa

url




Mikrofoni ni hii hapa chini

url



Kusoma hujui ... hata picha huioni!


.
 
Sio umejivua gamba, hakuna kitu kama hicho, CCM wamejivua gamba ambalo ni wewe!
 
Back
Top Bottom