Nimejivua Gamba Rasmi

Nimejivua Gamba Rasmi

Naomba kuuliza...
Wewe origin yako ni Moshi or Arusha?

Mussolin ni ndugu yake kabisa Rejao, ila sijui wanatokea mkoa gani, kwangu mimi hakunaga kuuliza mtu kabila. Ni dalili ya hulka za ukabila.
 
CDM bhana kumbe ndo maana Nape alisema mnajitekenya na kucheka wenyewe!! Lakini chama kikikosa wanachama si vibaya kujifariji kwa namna hii!! ungeonekana mzalendo sana kwa kueweka ID yako halisi ili uvutie wengi, si ajabu ukawa ndo ule padri mzinzi!!

sijaja hapa kutafuta umaarufu
 
Mbona tulishazichoma nyingi tu!

265145_155888057817064_100001876128018_355447_306317_n.jpg
 
Usingeichoma, unewapa CDM ili iwe ushahidi
 
Back
Top Bottom