Nimejifungua mtoto wa kiume

Nimejifungua mtoto wa kiume

Jamani nataka kumbatiza mwanangu pasaka, but bibi yake anasema bado mdogo sana. Atakuwa na mwezi mmoja net, eti kuna ubaya kumbatiza akiwa na mwezi mmoja?

hakuna!unaweza kumbatiza hata siku anazaliwa!mpe hi Nelson II!
 
Hongera kokutona, unanikumbusha 6 months ago, week za mwanzo sikulala, ila Mama Mkwe alipokuja aligungua Mke wangu Hana maziwa ya kutisha, ikabidi tuanze formulae, mtoto akaanza kulala mno. Angalia Sana issue hii.

Pia nimejifunza kwamba mtoto is like an empty thing, chochote unachomfanyia kwa sasa atafuata, weka ratiba ya chakula na ataizoea na kuifuata. Wakwangu sasa hivi hata Kama amelala mda Wa kula alipuzoea ukifika atalia na kuamka.

Endapo utakua Gina maziwa ya kutosha, kuwa mbunifu, kwenda chakula cha viwandani too much, jitahidi mtengenezea juice ya matuna, supu ya mboga etc.

Wakati mwingine ni Ngumu kujua Kama Una maziwa ya kutosha au la, mtoto anaweza kuwa anavuta hewa ila huwezi kujua, jitahidi sana kufahamu Hili.

Watoto ni Wazuri, zawadi toka kwa Mungu, tuwatunze na tushirikiane kuwalea, Hongera dadangu, mpe Shemeji Hongera zake na msaidiane mpaka kuchange nepy or pampas.

Mchana analalaa, usiku hakuna kulala, ni ful kukesha.
 
Uttoh mpendwa umenigusa.
Nilijifungua kwa OP so wk ya kwanza mtoto hakunyonya kabisa. So hospt walirecommend Lactogen 1. Maziwa yalipoanza kutoka nikaanza kumnyonyesha, baada ya kuanza kula. But kiukweli hashibi, nahisi maziwa yangu ni machache, so naendelea kumpa na lactogen.
Naomba unisaidie ratiba, na feeding strategy, na jee kuchanganya lactogen na kunyonya kuna madhara? Kana 21/2 weeks.
 
Ninayo furaha kuwajulisha ili mfurahi nami. Nimepata mtoto wa KIUME, siku ya Jumamosi tar 10/03/2012 alasiri kwa operation.

It was the happiest moment in my life as God has given me the greatest gift in my life, the precious baby. he is my world, my love, my peace, my everything kwa kweli. Namwomba Mungu anisaidie niwe mama mwema, akaniongoze niweze kumtunza na kumlea kwa maadili.

Lets celebrate together for the NEW BABY BOY.
hongera....ila nasikia siku hizi ni fashion kwa mashoree kuzaa kwa kisu...hamtaki maumivu ya uchungu? kweli?
 
Uttoh mpendwa umenigusa.
Nilijifungua kwa OP so wk ya kwanza mtoto hakunyonya kabisa. So hospt walirecommend Lactogen 1. Maziwa yalipoanza kutoka nikaanza kumnyonyesha, baada ya kuanza kula. But kiukweli hashibi, nahisi maziwa yangu ni machache, so naendelea kumpa na lactogen.
Naomba unisaidie ratiba, na feeding strategy, na jee kuchanganya lactogen na kunyonya kuna madhara? Kana 21/2 weeks.

kwenye kopo kuna fomula yake
 
Pole sana mamii, nasikia uchungu sana kwa kufiwa, Mungu amlaze pema peponi.
 
KOKUTONA; Sina mengi ila nitakukumbusha daima maneno haya; Tunaposema "HAIWEZEKANI" Bwana anasema "YOTE YANAWEZEKANA" Luka 18:27
Tunaposema "TUMECHOKA SANA" Bwana anasema "NITAWAPUMZISHA" Mathayo 11:24

Mungu akutie Nguvu mwenyewe!

Memo, i wish ningekuwa nafurahia na baba yake. Alinitenda na kunisaliti nikiwa na miezi mi2, then we broke up,so miezi 7 yote nimelea mwenyewe, sikukunwa tumbo, wala hata kubembelezwa, i was all alone. So he is mine, me alone.

Though siwezi kuacha kumshukuru kwa kunipa kidume cha nguvu. Popote ulipo F. Thanks for your ..... as am the mother of a baby boy. Mungu anisaindie tu niweze kumlea as a will be a single parent.
 
Last edited by a moderator:
Omg, is this the baby who died? Maskini Koku...
 
Dah! Nyie watu kwa nini mwaiumiza mioyo yetu? Kwa nini mmeiamsha thread hii?
 
Back
Top Bottom