Nimejifungua mtoto wa kiume

mtoto ameondoka mkuu! Muombee koku mungu ampe faraja kipindi hiki kigumu
rip our baby!
so sad1

Inna lilliah wainna illahi rajiuun... Mola ni mjuzi na muweza wa wa kila jambo, na yeye ndio mwenye kuchagua yupi ampe na yupi amyime...
Tuko pamoja katika majonzi haya makubwa... inauma!!!
 
Mtoto wangu amelingana umri na wa KOKUTONA je mimi ninathamani gani ninawangu yeye wake hana,niacheni nimsaidie kulia jamani niacheni Nicas Mtei kaka yangu tumwombee mungu amfariji dada yetu jamani inaume kuliko kuchomwa moto wacheni tu
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wangu amelingana umri na wa KOKUTONA je mimi ninathamani gani ninawangu yeye wake hana,niacheni nimsaidie kulia jamani niacheni Nicas Mtei kaka yangu tumwombee mungu amfariji dada yetu jamani inaume kuliko kuchomwa moto wacheni tu

Nivea tumshukuru Mungu kwa kila jambo.. Ni jambo la kuhuzunisha sana lakini hatuna namna zaidi ya kumkimbilia Mungu maana yeye ndiye mfariji wetu wakati wa shida. Nivea tumwombee KOKUTONA. Mungu amtiye nguvu katika kipindi hiki kigumu kwake.. Mwanetu amerudi kwa Muumba. Sisi tuliobaki inatupasa kuzitazama njia zetu.. Tufanye na kusema yote yampendezayo Mungu.. Kifo ni njia ya kutukumbusha sisi tuliobaki kuwa ipo siku pumz itakata hvyo inatupasha tuishi katika kusudi la Mungu wakati huu tungali tunaivuta pumzi aliyotujalia. God is Good all the time.
 
Last edited by a moderator:
pole kwa maumivu yanayoongoza duniani kwa kuuma..
Ila umesema he is your everything angalia usihamishe upendo wako TOTAL KWA MWANAO UKAMSAHAU MUMEO maana hapo ndipo wanaume wengi wanapoanza kukimbia kwani upendo umehama wanaona mtoto kaja kakomba wote sasa anaanza kuusaka kwingine..
Best wishes...
 
Back
Top Bottom