Ahsante sana B.kwa good advices ambazo nitazifanyia kazi by all the means.
E je siwezi chagua jina lenye herufi e?
Ahsante sana B.kwa good advices ambazo nitazifanyia kazi by all the means.
E je siwezi chagua jina lenye herufi e?
Dah nilijua utakataa baraka zangu....Naomba niziedit...AKUPE KADRI YA MATAKWA YAKO NA SI VINGINEVYO!AMEEN ERICK.
Akinijalia wengine nitashukuru.
Ahsante sana B.kwa good advices ambazo nitazifanyia kazi by all the means.
E je siwezi chagua jina lenye herufi e?
Hope Koku ulimaanisha ERICK!?Sio mbaya kabisa its good pia.
anaitwa nani huyu mwenzetu? mwambie karibu nyingi kutoka kwa anko mabagala, akaribie tupambane
Ahsante saana.
Nisaidieni majina nitashukuru, yale yanye utukufu.
Ukiona hujibiwi unambie nikupe ufunuo....Ngoja niliingize kwenye maombi kwanza. ERICK!!
Dah.....Hivi unajua hiyo Avatal yako ndo unaniletea uchuro hapa.....Teh teh. ERICK? Erick wana mbwembwe sana. Nilimaanisha ELASTON
Dah.....Hivi unajua hiyo Avatal yako ndo unaniletea uchuro hapa.....
Hebu itoe kwa muda nilogout then utairudisha maana nashangaa nasinzia lakini silogout
Hongera sana Koku, hiyo ni zawadi toka kwa Mungu wako!! Usiache kulitaja jina lake...... upate kuongeza faraja kila unapotabasamu na mwanao mpenzi!! Mola awajaalie afya njema!