Nimejifungua mtoto wa kiume

Nimejifungua mtoto wa kiume

Hongera kwa kuendeleza agizo la mungu la kuijaza nchi

tunakuombea kwa mungu uwemama mwema kwa mtoto na kuendelea kumpenda na kumheshimu baba wa mtoto
mungu amlee na kumkuza mtoto ktk afya njea na maadili mema

hongereni sana
 
Hongera Koku, Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu yenye afia, upendo na mafanikio tele.
 
Hongera kwa kuendeleza agizo la mungu la kuijaza nchi

tunakuombea kwa mungu uwemama mwema kwa mtoto na kuendelea kumpenda na kumheshimu baba wa mtoto
mungu amlee na kumkuza mtoto ktk afya njea na maadili mema

hongereni sana

Amina ndugu. Nina imani Mungu atanipigania ktk kumlea kwenye njia impasayo. Ahsante sana.
 
aisee afadhali umewaongezea kina kaka idadi manake tuko wachache sana,kazi ipo mpe hi bebito:decision:
 
Barikiwa sana mpendwa wangu na huyo bebii wako,mwambie tunampenda sana
 
Hongera Sana Koku! Furahia hio baraka toka kwa Muumba wetu.....

"A Baby Boy's a Blessing
A Gift from Heaven above
A Precious Little Angel
To Cherish and to Love"
 
Hongera sana sana.
Mwenyezi Mungu akupe uwezo wa kumlea mwanao kwa malezi mema na akujalie busara na hekima katika malezi yako. Akupe hekima kujua namna ya kumlea mwanao. Akue katika kumjua Mungu. Hongera sana sana
 
kwa kua ni mtoto wa kiume,mimi mjomba wake namkabidhi Jezi "Number Ten"..a Magic Jezi..ilivaliwa na Pele..Maradona na sasa Messi...
 
Hongera Sana Koku! Furahia hio baraka toka kwa Muumba wetu.....

"A Baby Boy's a Blessing
A Gift from Heaven above
A Precious Little Angel
To Cherish and to Love"

Thanks Merciful, for the nice msg. Truly i thank God for this blessing.
Karibu ktk kulea kwa pamoja, hasa kwa ushauri.
 
Hongera sana sana.
Mwenyezi Mungu akupe uwezo wa kumlea mwanao kwa malezi mema na akujalie busara na hekima katika malezi yako. Akupe hekima kujua namna ya kumlea mwanao. Akue katika kumjua Mungu. Hongera sana sana

Ahsante sana Mr Rocky. Ameen Mungu atafanya njia kuniwezesha kuyatenda yaliyo mema ktk kumlea little angel. Awe na maadili mema na amjue Mungu pia. Again, thanks a lot for the sweet words for the baby and me.
 
kwa kua ni mtoto wa kiume,mimi mjomba wake namkabidhi Jezi "Number Ten"..a Magic Jezi..ilivaliwa na Pele..Maradona na sasa Messi...

Wooow! Such an incredible gift.
Ahsante sana K.H kwa zawadi ya baby boy.
 
Jamani nataka kumbatiza mwanangu pasaka, but bibi yake anasema bado mdogo sana. Atakuwa na mwezi mmoja net, eti kuna ubaya kumbatiza akiwa na mwezi mmoja?
 
Back
Top Bottom