Nimeona mpendwa... Hongera ni zako peke yako kwa sasa manake umeonja joto ya jiwe ukiwa peke yako na Mungu wako!Umeonaeee.
Sijaanza Prof, huo ndio ukweli halisi..umeanza.,khaa
Ameen. Hongera sana kwa kujifungua. nami nitakukumbuka sala zangu ili ahadi hii uliyoiweka kwa mtoto wako ya kuwa mama bora uweze kuitimiza. Nakutakia safari njema ya maisha kati yako wewe na mtoto wako ambayo mmeianza.
napendekeza PAWHongera sana MADAME, mwanao anaitwa nani
Koku!!! Hongera mpenz... NtakuPM proposed name! Lots of kisses to the little angel... May God bless him and his parents with health and happiness..
Koku!!! Hongera mpenz... NtakuPM proposed name! Lots of kisses to the little angel... May God bless him and his parents with health and happiness..
hivi kumbe na wanawake wa jf huwa mnakuwa wajawazito! Mbona mkija clinic hamjitambulishi? Malezi mema!
Hilo tu! Basi mi nkipata ujauzito ntakuja kujitambulisha. Si upo pale pale au umehama?
waaooo! Hongera sana kwa kutuletea kamanda kidume, mlee vizuri mana tayari ameshazaliwa kamanda wa kike j2 tar 18 na Flora msoffe, huenda mbeleni wakawa kama Josephine&dr slaa
atakuingizia vidole halafu uje na post kama naniliu pale JF doctor...