Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Huyu jamaa makadilio ya vifaa hapo vingi ni zero kabisa nyumba kama hyo huwezi tumia mbao 18 cjui 40 eti misumali kilo 9 ya bati unamfaham ujenz wewe sio kwa nyumba acha kupotosha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hata kama nia yako ni kuelewesha au kuelimishwa basi ni njema kutumia lugha nzuri ya kiuungwana, sidhani kama mleta mada kaanzisha mada ili apotoshe watu maana sioni kama kuna faida atapata
 
kwa hiyo picha 7m ni sawa,labda tuseme kibishibishi,sidhani kama ni nyumba ya ndoto yako. Maana wengine tulianza kujenga mijengo hiyo 7m ni msingi tu

hapa anachojenga ni low cost housig ambayo lengolake ni mtu asinyeshewe mvua wala kupigwa jua. sasa hizo nyumba za ndoto yako ujue sasa unaleta story za nyumba za nhc ambazo full usanii
 
Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.

Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.

Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.

So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.

Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.

Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.

Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 75,000 = 112,5000
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000

Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000

Sent using Jamii Forums mobile app

mzee naomba utuwekee karamani na vipimo vyake
 
Hongera sana kiongozi

Nimeshapata Idea kwenye kiwanja changu kilichobaki.Tutatifautiana kwenye bati.Nataka kijumba Cha kupangisha mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PONGEZI SANA, MKUU!

Sijui kwa nini umekuwa aggressive kiasi hiki kwa jambo lisilokuumiza wala kukugusa. Inaonyesha una maringo na dharau sana kiasi cha wanaokuzunguka kupata shida na wewe. Ungenyamaza tu au ukamuuliza kiundani ili akuchambulie. HUNA BUSARA!
 
Ongera sana kaka. Umenikumbusha miaka 2 nyuma nilipata project ambayo iliniingizia hela nyingi kwa wakati mmoja na ilikua ni mara yangu ya kwanza kumiliki hela nyingi kama hiyo. Niliwaza sana nifanye biashara gani lakini nikkosa kwa sababu sikujiandaa. Niliamu kuanza ujenzi wa nyumba kama yako ingawa nimekuzidi kidogo maana ina master, choo cha ndani na jiko na nashukuru Mungu baada ya kumaliza finishing yote project ilisitishwa baada ya mabadiliko ya sheria ambayo haikuwa rafiki kwa mteja wangu. Sasa hivi nimefulia mazima lakini nina sehemu nzuri ya kulala na sina kelele na mtu. Kuna watu walinishauri ninunue gari nikagoma na sasa hivi sijutii maamuzi yangu.
Ningeweka picha lakini itanitambulisha kirahisi humu ila mtoa mada ukitaka naweza kukutumia pm ila mpaka namaliza nilitumia around 35M ingawa pia nilipigwa 1.2M na shemeji yangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole saana mkuu,nafikir shemeji ulimpa kazi ya kusimamia mjengo nae akajipangia kamshahara kake....japo alipiga parefu sana apo
 
Umejitahidi.
Wengine wangepata hizo hela wangekwenda kugongea .mtu kwake..
Hapo ukipata tena hela unairemba remba.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"

Yani we jamaa kila mchango wako lazima nisome hiyo signature
 
Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.

Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.

Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.

So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.

Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.

Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.

Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 75,000 = 112,5000
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000

Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera dogo ila ikiisha thamani yake haitapungua milioni 25
 
Back
Top Bottom