Hivi container moja bei gani?
Bro niliamua tuu. Nilikaa na fundi wangu, tukapanga bajeti. Nkamueleza aina ya nyumba nnayotaka. Bajeti tulipiga bada ya kujua bei ya vifaa. So nkacheki mfuko wangu nilikua na m6. Nkaamua naanza hivo hivo. Now here I am
Inawezekana umesema kweli ila Uwezo wake baada ya kupigana sana kafikia hapo, tumpongeze kama kuna mapungufu atayarekebisha taratibu tu! Kuna mzee mmoja aliniambia kijana nyumba huwezi kujenga ikaisha, kila wakati utaona bado kuna sehemu unataka ubadilishe au kuboreshaKawann umepaua kwa bati hizo??? Bora ungeoau kwa mgongo ndogo za rangi..
Halafu umeharakisha Sana...hiyo nyumba umejenga kwa kulipua sana
roughly 4million container la Ft 40Hivi container moja bei gani?
Daaaaah kumbe Kuna vitu tunaona vigum kumbe simple ivyo hakika umenipa nguvu ya kujenga kibanda na me niwe father house 🏡Wakuu, poleni na janga hili la corona. I hope mnachukua tahadhari zote ili kubaki salama. Basi leo nimeona vema nishee namna nilovokamilisha ujenzi wa kijibanda changu. Najua kuna mtu ntakua nmemsaidia na kumtia moyo kwamba kwa kidogo alichonacho, inawezekana kuepukana na adha za ma faza house.
Nyumba nimejenga ni ndogo ila inanitosha. Ni vyumba viwili vya kulala, sebule, choo na korido fulani ambapo ndo kuna jiko kupikia. Kiwanja nilinunua 25 kwa 25 nilinunua mwaka juzi 2018 kwa sh milion4.5 locationi ni madale mwisho. So nkaona kujenga nyumba kubwa itanichukua muda mrefu kulinganisha na kipato changu, so nkajenga nyumba hii ndogo pemben kabisa ya uwanza, na kuacha nafasi kubwa kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kubwa hapo baadae. Nyumba hii imeanza kuchimbwa msingi tar 22 feb 2020 na baada ya siku 29 me nkahamia.
Baada ya kuezeka milangoni na madirisha nmewekaMa drill. Na nyavu za kukinga mbu. Bado cjaweka plasta. Na chini ni rough floor. Sijaweka ceiling board , namaanisha dari. Hii nmeweka chooni tuu. Milango ya mbao ni miwili wa chooni na wa sebuleni. Umeme pia bado ila nmeshalipia nawasubiri jamaa wakuje kuwasha.
So nyumba hii cjacomplicate saana. Nmejenga simple tuu. Maana kuna bandiko niliona humu jf jamaa alisema ujenzi ni ww na maamuzi yako unatakaje. Unaweza jenga kwa m10 ramani ile ile ambayo mwingne kajenga kwa m20.
Gharama za ujenzi.
Vifaa vya ujenzi vyote vilinunuliwa siku moja. Tar 22 feb 2020. Lengo la kununua kwa siku moja ni kupunguza gharama za usafiri kununua kimoja kimoja. Nilinunua na nikaweka hapa kwa jirani yangu.
Vifaa vyote vilinunuliwa maduka ya madale mwisho. Actually kabla sijanunua nilienda maduka ya town tegeta kule, nkaulizia bei baada ya kupiga tathmin nkagundua cjakwepa kitu. Nei ni zile zile tuu. So nkaona bora ninunue madale ntasave kidogo kweenye usafiri. So gharama ni kama ifuatavyo.
Bati geji 32 @ 18,500 = 740,000
Cement 37 @13,500 = 499,500
Mbao papi 18 @ 10,000 = 180,000
Mbao kenchi 40 @ 5,800 = 232,000
Mbao zege 15 @ 7,500= 112,500
Misumari nchi 4 kg 10 @ 3,000 = 30,000
Misumari bati kg 9 @ 6,000 = 54,000
Misumari nchi 3 kg 2 @ 3,000 = 6,000
Koa 2 @ 3,500= 7,000
Nondo 10 @ 18,000 = 180,000
Sink la choo 1 @ 18,000
Bomba 2 nchi 4 @ 13,000 = 26,000
Bomba nusu nchi 1.5 @ 7,500 = 3,500
Pitrap 1 @ 2,500
Elbow 2 @ 3,500 = 7,000
Usafiri 40,000
Kuchimba shimo la choo 230,000
Mchanga tipa 4 @55,000 = 220,000
Kokoto tipa 1 @ 150,000
Tofali 1650 @ 1025 = 1,691,250
Grill madirisha 4 @ 150,000= 600,000
Grill mlango 1 @ 200,000
Grill dirisha choo 1 @ 30,000
Mlango wa sebule 150,000
Nyavu za mbu na zile zingne nilisahau kurekodi. Lets say 100,000
Fundi 1,300,000 ( alifanya kila kitu)
Saidia fundi 29 days @10,000 = 290,000
Chakula mchana 29 days @ 3,000= 87,000
Jumla niliyopata kwa gharama zote hizo juu ni
7,200,000
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau kasema 4m. Matofali ya kujenga jengo lenye ukubwa Sawa na container hilo haifiki 4m. Usipoangalia container linaweza kuwa ghali kuliko matofali.bado sijafahamu mkuu, lakini huku mitaani watu wanayauza kwa bei ya maelewano mengi hayana kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah kule ni chumban. Plan ni madirisha matano. Ila kwa sasa pamezibwa kabisa na tofali. ( nlikosa kipande chabati, ila tofali zilikua zmebak kiasi.Picha ya kwanza Yanaonela madirisha manne Ila kupitia dirisha la pili nyuma kushoto utaona Kuna majani yanaoneka kupitia kupitia uwaz huo wenye ukubwa sawa na dirisha.
Na madirisha hapo n Zaid ya matano kwa muonekano wa hyo nyumba labda uwe uliamua kuweka matofali kusubiri mipango ikae sawa
Nyumba yako ina pande nne,pande zinaozoonekana ni mbili , zote kila moja ina madirisha mawili,je pande mbili zisizoonekana hazina madirisha?Picha
Ya mbele yako manne??? Cjui unahesabu vipi. Me najua mbele madirisha yako mawili na mlango. Pembeni kuna dirisha moja, na nyuma lipo moja
Upande mmoja kuna dirisha kubwa la chumban na dirisha la choo. Ila dirisha kubwa limezibwa na tofali totallyNyumba yako ina pande nne,pande zinaozoonekana ni mbili , zote kila moja ina madirisha mawili,je pande mbili zisizoonekana hazina madirisha?
Okay hapo nimekupata mkuu.Upande mmoja kuna dirisha kubwa la chumban na dirisha la choo. Ila dirisha kubwa limezibwa na tofali totally
KIUFUPI HILI NI BANDA (samahani lakini ndo ukweli, umejenga banda la kulala)
Kwa Pesa hiyo ni sahihi kabisa ujenzi Wa banda kama hili;
Kwanza hata milioni 6 ingetosha!
Tutashukuru sanaPoa... ninavyo vyote. Ntavileta hapa kesho asubuh.
Ni kweli ni banda. Na ni langu. Ww mwenye nyumba sawa na ni yako. Ww kuwa na nyumba hakunipunguzii kitu au kuniongezea lolote mie mwenye banda. Ukute am happy n free kulko ww mwenye nyumbaKIUFUPI HILI NI BANDA (samahani lakini ndo ukweli, umejenga banda la kulala)
Kwa Pesa hiyo ni sahihi kabisa ujenzi Wa banda kama hili;
Kwanza hata milioni 6 ingetosha!