Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

nimekuelewa sana mkuu, tatizo gauge hiyo, ungejipinda kidogo walau upate gauge 30 . hizo ukizochukua wewe ni very light wanazitumia sana sites kuweka boundary siyo kupaulia nyumba. anyway uwezo wako ndipo ulipoishia nakupa Hongera
Mimi Sio mtoa mada Mkuu, Mi nilikuwa naongezea tu dondoo kwenye comment yako
 
Nyumba yenyewe bado hata haijakamilika
Bado vitu vingi Mkuu
Hela lazima ukitoke Mkuu
Bado hilo ni pagare Mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi sahivi nmehamia, niko kwangu ingawa unachosema ni kweli. Bado saana. Ntavifanya nikiwa humu humu.

1587459134034.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom